Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watakuja na all sorts of excuses hadi ucheke...mara ooh Nairobi ni ndogo sana kwa Dar kiukubwa, mara ohh Nairobi imejaa misitu mara sijui Nairobi has a lof of gaps that need to be filled bla bla bla

Did you know Dadaab Refugee camp is waaay better than Darislum.
Here.
DARISLUM
images-52.jpeg

DADAAB REFUGEE CAMP
images-45.jpeg

4a8aa04e6.jpg
 
so ulitaka kusema nakuru ni city ikiwa kisum yenyewe haijafkia hata hadhi ya ukucha ya kuitwa city hvi ww na akili zako timamu unaeza simama mbele za watu ukaita kisum city??😀😀😀
Ni aje jobless boy😀😀😀...Maisha yako yote unashinda jf. What do you always do? Day nzima Ichoboy ako JF na hata usiku pia unakesha uko. Tafuta kitu ya kufanya kijana.
 
so ulitaka kusema nakuru ni city ikiwa kisum yenyewe haijafkia hata hadhi ya ukucha ya kuitwa city hvi ww na akili zako timamu unaeza simama mbele za watu ukaita kisum city??😀😀😀
Nilikuuliza what makes a place to be called a city ukashinda. Bado kelele ndo unapiga hapa na Arusha ni vibanda tupu, ati hii ni city😀😀😀
IMG_20180715_193522_374.JPG
 
Ni aje jobless boy😀😀😀...Maisha yako yote unashinda jf. What do you always do? Day nzima Ichoboy ako JF na hata usiku pia unakesha uko. Tafuta kitu ya kufanya kijana.
ukhekhe mzee wa kisum city taxi baiskeli zipo au hazipo maisha yangu ww utayaweza lakini
 
Nilikuuliza what makes a place to be called a city ukashinda. Bado kelele ndo unapiga hapa na Arusha ni vibanda tupu, ati hii ni city😀😀😀View attachment 811133

Achana na hawa watu bwana.... Ukiona mtu anashinda the whole day and night JF ujue you are dealing with a delinquent.......Try engaging one on a serious matter or a topic na utagundua things are not OK in that country.
 
Ni aje jobless boy😀😀😀...Maisha yako yote unashinda jf. What do you always do? Day nzima Ichoboy ako JF na hata usiku pia unakesha uko. Tafuta kitu ya kufanya kijana.

Hebu hata tema mate uone.... Atajibu na picha ya baiskeli....
 
Achana na hawa watu bwana.... Ukiona mtu anashinda the whole day and night JF ujue you are dealing with a delinquent.......Try engaging one on a serious matter or a topic na utagundua things are not OK in that country.
hehehe picha za nchi za watu udongo mwekundu unasema dar nimecheka sana hio ndio gear yenu baada ya kushindwa mjadala😀😛😛😛😛
 
sasa umeanza kuchukua picha za nigeria na sieralione na kusema dar hua mkizidiwa munakimbilia picha za google heheheheh😀😀😀😀😀

Hahahaha.... Kwenu ni kwenu.... Usikatae.... Tihahahhaaaaa... Kujeni muone mwendawazimu anakataa kwao
 
Hebu hata tema mate uone.... Atajibu na picha ya baiskeli....
hehehe picha za google unasema dar hahahah mkizidiwa point sasa munahamia google kuokota picha ba kusema dar mlivo wajinga hua munaokota picha za ovyo zenye udongo mwekundu hehhee
 
Hahahaha.... Kwenu ni kwenu.... Usikatae.... Tihahahhaaaaa... Kujeni muone mwenda wa simu
tabia zako ni kama za mwaswast akizidiwa huenda google kuokota picha za congo na nigeria anakwambia dar ukimuonesha ushahidi harudi tena😱😀😀😱
 
wakenya huu mjadala umewashindeni kabisa mwingine anaingilia mpka maisha yangu eti niko jamii forum muda wote sasa anataka ajifananishe na mm😀😀😀
 
tabia zako ni kama za mwaswast akizidiwa huenda google kuokota picha za congo na nigeria anakwambia dar ukimuonesha ushahidi harudi tena😱😀😀😱

Kubali yaishe.... You are worse than Haiti my friend... Don't waste your bundles arguing about nothing... Hata Wadanganyika wenzako wanakushangaa
 
Back
Top Bottom