Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i just ran a speed test in my Computer look what i found
upload_2018-7-16_19-57-56.png
 
just to confirm
upload_2018-7-16_20-0-17.png
 
Attachments

  • upload_2018-7-16_19-59-55.png
    upload_2018-7-16_19-59-55.png
    138.1 KB · Views: 22
ingefaa uulize kwanza kwa namna gani title city inapatikana tz,huko kwenu mpaka mji uwe na mall ndio uitwa city,huku sisi tunaangalia idadi ya watu.
vigezo mnaotumia nyinyi ni tafauti sana na sisi...that's why Mbeya is a city in Tanzania in accordance with Tanzanian standards while Nakuru is not a city in kenya wakati sisi sote tunajua Nakuru ni kubwa and more developed
 
sasa kwanini ushangae mbeya kuwa city tz,ilhali unajua kabisa hata nakuru iweje as if ina iadi ndogo ya watu basi,haiwezi itwa city tz.
 
sasa kwanini ushangae mbeya kuwa city tz,ilhali unajua kabisa hata nakuru iweje as if ina iadi ndogo ya watu basi,haiwezi itwa city tz.
Kwa hivyo nyinyi hutumia population as a basis of promoting a town to a city status? Ndo maana siku zote tunasema hizo miji ni cities accriding to tanzanian standards. In other words, standard yenu iko chini. Kwa hivyo hata ile mji wenu wa border, Sirare, leo ijipate iko na watu nusu milioni mtaipandisha hadhi moja kwa moja na huita city??? kenya na TZ ni kama usiku na mchana, hazipatani hata kidogo
 
Nairobi =DAR+MWANZA +MBEYA +ARUSHA +MOSHI +TANGA
KENYA =TANZANIA Plus all your cities and villages... That's why Kenya's Economy is 80bn while Danganyikan is 56bn
ukhekhe dar is 1590km sq
nairobi is 696km sq + msa 200km sq + kisum 100km sq+ kigali 150km sq + 350km sq hehhe endelea kujipa matumaini kwenye hakuna😀😀😀😀
 
unaandika nini wewe??mbona unataka kutia aibu??

nikuulize hiyo GDP mnayotuacha kwa zaidi ya miongo mitatu sasa,ndio imewasaidia kufikia hayo maendeleo ya nairobi mnayotupigia kelele humu siku zote!!!!!ni aibu kujidai kwa hili mzee,bora ungekaa kimya.
atakwambia ndio 😀😀😀😀
 
vigezo mnaotumia nyinyi ni tafauti sana na sisi...that's why Mbeya is a city in Tanzania in accordance with Tanzanian standards while Nakuru is not a city in kenya wakati sisi sote tunajua Nakuru ni kubwa and more developed
so ulitaka kusema nakuru ni city ikiwa kisum yenyewe haijafkia hata hadhi ya ukucha ya kuitwa city hvi ww na akili zako timamu unaeza simama mbele za watu ukaita kisum city??😀😀😀
 
Kwa hivyo nyinyi hutumia population as a basis of promoting a town to a city status? Ndo maana siku zote tunasema hizo miji ni cities accriding to tanzanian standards. In other words, standard yenu iko chini. Kwa hivyo hata ile mji wenu wa border, Sirare, leo ijipate iko na watu nusu milioni mtaipandisha hadhi moja kwa moja na huita city??? kenya na TZ ni kama usiku na mchana, hazipatani hata kidogo
hazipatani kwa vile kenya iko bara la europe sio africa sindio???😀😀😀 au vile kenya ilipofika haijui maana ya njaa na unemployment ww usigeuze kibao kwa kisingizio ndio maana mumebaki kua watumwa wa mchina kwasababu ya madeni munanyanyaswa na SGR iko kwenu 5000 chinnese working on SGR heheheh alaf unakuja kuongea nonsense hapa
 
ukhekhe dar is 1590km sq
nairobi is 696km sq + msa 200km sq + kisum 100km sq+ kigali 150km sq + 350km sq hehhe endelea kujipa matumaini kwenye hakuna😀😀😀😀

1590km of Slum upon slum upon slum
images-26.jpeg
 
google and see , Kisumu itasubir sana kwa malls ,the only proper mall i see ni hyo lake basin , iliyofunguliwa this year na iko empty empty
Aim Mall
Njiro Mall
Mega Complex
Sable Square MallView attachment 810646 View attachment 810647 View attachment 810647
aim MallView attachment 810650 View attachment 810646 View attachment 810647 View attachment 810648 View attachment 810649 View attachment 810650 View attachment 810651
Umetaja nne but naona only 2😀😀😀, wapi zingine? ..Arusha ni mji wa vibanda tu😀😀😀
 
Hii watakimbia wasionekane.... Wameenda kujiliwaza watarudi na Oooh Darislum is th largest city in the world.....
watakuja na all sorts of excuses hadi ucheke...mara ooh Nairobi ni ndogo sana kwa Dar kiukubwa, mara ohh Nairobi imejaa misitu mara sijui Nairobi has a lof of gaps that need to be filled bla bla bla
 
Back
Top Bottom