Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tapatalk_1530768215390.jpeg
View attachment 802939 Upper hill ya 2018
Screenshot_2018-06-25-10-41-14-53.png
View attachment 802939 View attachment 802940 Kijitonyama ya 2018😳😳😳😳😀😀😀😀😀 Mogadishu 🙁😀😀
Screenshot_2018-06-25-10-41-14-53.png
 
Sikuhiz unajionyesha namna ulivyo kiazi
Nidugu yako Icheoboy natania lakini nimekua nikiamini kijitonyama ni cbd huu muda wote kumbe ni majengo kadhaa yamejengwa pembeni mwa barabara.
 
Nidugu yako Icheoboy natania lakini nimekua nikiamini kijitonyama ni cbd huu muda wote kumbe ni majengo kadhaa yamejengwa pembeni mwa barabara.
Upande wa juu ni mikocheni alafu imepakana na mwananyamala ambayo haikupimwa...Ni sehemu inayobadilika Majengo ya ofisi kadhaa yamejengwa yaweza kuja kua transformed na kufaa kua CBD later kama wakaazi watakubali kuuza maeneo
 
mafuta 2000barrels per day inunue nchi ???
wakat uganda wanatoa 216,000barrels per day na hawazungumzi wamekaa kimya😀😀😀😀😀

wakati tanzania ina gas ambayo imegundulika tu ni 57trillion cubic feet achilia mbali ambayo haijagundulika😛😛😛😛
UGANDA pia usipochunga wao pia watakuja nunua nchi yenu.

Tahadhari sana

Put some RESPECT on your elders!
 
wapi unga???? wapi sukari???😀😀😀😀😀

wewe mjinga sana!!

KENYA itakosaje UNGA na SUKARI??
uko vizuri wewe!

Business men are trying to make a kill!
Wanatafuta pesa na WATAZIPATA hizo pesa wakenya wapende wasipende!!

Hii akili Mtanzania anaweza kua nayo kweli??

WaKenya watu hatari. Watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average African/tanzanian

UMEME! DANGER!!
 
View attachment 802938 View attachment 802939 Upper hill ya 2018View attachment 802941 View attachment 802939 View attachment 802940 Kijitonyama ya 2018😳😳😳😳😀😀😀😀😀 Mogadishu 🙁😀😀View attachment 802941
Hii hapa ndio Dar hawataki kukubali!

Wako in denial kabisa! Mtanzania ni Nyani asiyeona MKUNDU wake.

Sisi tumekubali VIBERA na slums zote. Tuko past acceptance na we are on our way to GREATNESS! (..and all it ever took was patience! S/O Joey BadA$$ we love you!)

Tahadhari wakenya. WaKenya akili zao nzito.
 
Nafikiri saizi picha zote za NBO zilizomo humu ndani zimewapa just a taste of what it feels like to be NAIROBI (jiji kuu)

Nitawasihi waKenya hamna haja ya kuongeza zingine. Tuwaache Hawa warudie zao wao wenyewe wachoke na kijiji chao.

Tukiongeza picha zingine za NBO ama kurudia mapicha itakua ni kushusha hadhi ya NBO na itafanya jiji kuu kupoteza ladha kama kijiji chao.

Going forward ni kuDeconstruct ujinga wowote utakao letwa hapa, na kulisha Hawa watu FACTS tuu
MKenya akifikiria.. Hufikiria RIGHT more than 78% of the time.

huu ndio mtindo going forward
 
Upande wa juu ni mikocheni alafu imepakana na mwananyamala ambayo haikupimwa...Ni sehemu inayobadilika Majengo ya ofisi kadhaa yamejengwa yaweza kuja kua transformed na kufaa kua CBD later kama wakaazi watakubali kuuza maeneo
huyo utasumbua kichwa chako bure 😀😀😀😀😀
 
Aah! Nilidhani wahenga hawakukosea waliposema PAKA akiondoka PANYA hutawala

Inaonekana huu wakati mmoja wakiwa hunting TZ walipuliza kiasi na wakakosea

PAKA ya NBO imekuja ikakojoa dar akaondoka lakini PANYA hawepo. Wanaangalia kwa mbali

WaKenya watu hatari sana. UMEME! danger!
 
UGANDA pia usipochunga wao pia watakuja nunua nchi yenu.

Tahadhari sana

Put some RESPECT on your elders!
ukhekhe wanapitisha bomba huku litaajiri watanzania elfu 10 na litaingizia pesa tanzania kwa mwaka zaidi ya 1b usd😀😀😀😀😀😀😀😀
 
wewe mjinga sana!!

KENYA itakosaje UNGA na SUKARI??
uko vizuri wewe!

Business men are trying to make a kill!
Wanatafuta pesa na WATAZIPATA hizo pesa wakenya wapende wasipende!!

Hii akili Mtanzania anaweza kua nayo kweli??

WaKenya watu hatari. Watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average African/tanzanian

UMEME! DANGER!!
na watu wanapokufa na njaa kila mwaka wanakosa vp chakula??😀😀😀😀😀😀😀
 
Leo imekua siku nzuri sana. Watanzania nimewaweza na kuwapiga kwenye game yao

Ninafuraha sana na naomba tuendelee vivi hivi

Mtakuja kukubali. Acceptance huja baada ya denial.

Laleni unono
Nafikiri mmeamka vizuri.

Tuendelee. Watanzania tufunge mjadala once and for all. Naskia vibaya jinsi ninavyoDestruct popular opinions.

Leteni facts na mshtumu wenzenu waache POROJO.

WaKenya watu wakarimu. Watu ambao ni critical thinkers.
 
mafuta 2000barrels per day inunue nchi ???
wakat uganda wanatoa 216,000barrels per day na hawazungumzi wamekaa kimya😀😀😀😀😀

wakati tanzania ina gas ambayo imegundulika tu ni 57trillion cubic feet achilia mbali ambayo haijagundulika😛😛😛😛
Hiyo Gas KENYA itanunua kutoka kwenu na tuConnect nyumba nyingi iwezakanavyo wakenya wafurahie maisha.

Nyinyi hiyo wakati Sidhani hii ndio itakua the norm
 
Back
Top Bottom