Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mafuta 2000barrels per day inunue nchi ???
wakat uganda wanatoa 216,000barrels per day na hawazungumzi wamekaa kimya😀😀😀😀😀

wakati tanzania ina gas ambayo imegundulika tu ni 57trillion cubic feet achilia mbali ambayo haijagundulika😛😛😛😛
Early Export Project!

Unadhani mzungu wa Tullow oil anaweza wekezea hizo pesa zote za kufanya exploration ya MAFUTA kama hakuna mafuta?

Discovered wells are estimated to contain this liquid gold of (800million-4billion barrels)

Nchi kama Nigeria wao pia wakianza early oil exportation walikua wanatoa roughly 5500barels a day.. Yet we are here.

Apana dharau waKenya. Hii chapter tumeifunga saizi!
 
''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?

Wale wale watu ambao tuliwalalamikia wale wale walilalamikiwa na wachimbaji wadogo wa Mererani mmewarudisha mre mre ndani ya ukuta. Yani ni jambo la ajabu...yani wamewapa nini? mtuambie Mweshimiwa mpango! mtuambie kwamba mnawadanganya watanzania.

Leo unakuja hapa unatuambia upandishe bei ya bidhaa. Sisi kwa mfano tunaishi mipakani, tuna advantage ya kuishi mipakani. Leo sukari kutoka kenya shillingi 1200 Tanzania pare Sirari, Sukari yenu kutoka Kagera sugar(2200) shilingi elfu mbili na mia mbili. Unataka mtu wa Tarime aumie kwa expense yako?

Mfuko wa sementi wa bamburi shs 14,000, mfuko wa simenti wa twiga shs 22,000 hamtaki mtanzania wa Tarime anunue mfuko Kenya. Kama mnataka viwanda vyenu vishindane vilete simenti kwa bei competitive na ya Kenya watanzania wenyewe wachague wataunua wapi''.
budget ya tanzania ni 32 trillion , 75% internally and 25% externally
debt to GDP ratio tanzania ni 32%
kumbuka tanzania is building modern electric train in africa by its own source no debt, na imeshatoa 3.16b usd kwa phase mbili 700km from dar to dodoma na hapohapo ujue tanzania imenunua ndege 6 brand new no debt no leasing deal my friend na hapo hapo expansion of dar port is going on under 350m usd from world bank soft loan, BRT phase 2 ready to start under soft loan from AFDB ,

expansion of mtwara port and tanga port ready and yesterday mtwara imepokea meli kubwa ya mafuta 10000tons

😀😀😀😀😀😀😀😀 niendelee au????
 
hamujafkia hata nusu ya mafuta yaliyopo uganda my friend just half hamujanusa na ukumbuke uganda will be transporting 216,000barrels per day through tanzania wakati nyinyi ni 2000barrels per day😀😀😀😀😀😀
 
Parliament on fire babaa uongo kutoka your type tumezoea ila bunge lenu linaweka ukweli wazi wazi... huyu mbunge anadanganya?

Umekazania sana hiyo video wakati hao ni Upinzani lazima waropoke vyovyote vile wapendavyo
leo hii Kenya Sukari ni Ksh 260
Sasa hilo anaifahamu huyo
Igeuze kwa shilingi ya Tanzania Wapi kwenye Afadhali
 
Hii Estate imepostiwa hapa mara 1 million, bado wasanii wa bongo hutumia kushoot videos. Inaonekana hamna any other good estates kama hii.
ile aliepost mwenzako ilipostiwa mara ngapi??? mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu😀😀😀😀
 
Huku ndio WaChina watakuja kubarizi baada ya kufanya business in Kenya (Kumbuka AVIC african headquarters zinaundwa Westlands, NBO)
hq inajengwa alaf unemployment rate 40% hahah 😀😀😀😀😀😀
 
I hate people who litter, anyway damn PRISM tower looking fresh and fine.
Deb5WbnX0AAMDAu.jpg:large
It's attractive
tapatalk_1530768215390.jpeg
Prism-Tower-Jamii-Forums.jpg
The_modern_skyline_of_Nairobi.jpg
 
Attachments

hamujafkia hata nusu ya mafuta yaliyopo uganda my friend just half hamujanusa na ukumbuke uganda will be transporting 216,000barrels per day through tanzania wakati nyinyi ni 2000barrels per day😀😀😀😀😀😀
HUGE congratulations UGANDA.

waKenya hatushindani. WaKenya ni watu ambao wana mind their businesses. WaKenya si watu wa kujilinganisha na nchi yeyote. WaKenya ni watu wa ajabu.
 
Kumbuka Kenya (due to the fact that you cannot beat nature) more than half the country ni ARID and SEMI ARID areas.

Ukame hutokea Kenya.

Uzuri ni mKenya mtu wa ajabu. Mtu wa kufikiria na kutatuta shida zinazomkumba.

Northern areas Kenya inakua transformed. Yaani mabarabara zinaundwa KUUNDWA (ili eventually wakue accessible nao pia maisha ibadilike kwa sababu services will spread to them)

Northern Kenya hatari. Hao ndio the next frontier. LAPSSET, Lake Turkana wind project, OUR OWN PIPELINE.....You name it!

Na ni vitu ambazo ziko on the ground. Sio chocha
saud arabia,UAE, Qatar 100% desert lakin huwez kuskia hawana chakula 😀😀😀😀😀 wakat wewe arable land anamiliki kenyatta na settlers wanapanda maua kupeleka ulaya wakat wakenya wananjaa na ukame

kenyatta and his family own land of keeping 20million kenyans
 
HUGE congratulations UGANDA.

waKenya hatushindani. WaKenya ni watu ambao wana mind their businesses. WaKenya si watu wa kujilinganisha na nchi yeyote. WaKenya ni watu wa ajabu.
hamushindani na mbona mulilia sana bomba lilivokuja tanzania why??? na matusi mulitukana😛😛😛
 
budget ya tanzania ni 32 trillion , 75% internally and 25% externally
debt to GDP ratio tanzania ni 32%
kumbuka tanzania is building modern electric train in africa by its own source no debt, na imeshatoa 3.16b usd kwa phase mbili 700km from dar to dodoma na hapohapo ujue tanzania imenunua ndege 6 brand new no debt no leasing deal my friend na hapo hapo expansion of dar port is going on under 350m usd from world bank soft loan, BRT phase 2 ready to start under soft loan from AFDB ,

expansion of mtwara port and tanga port ready and yesterday mtwara imepokea meli kubwa ya mafuta 10000tons

😀😀😀😀😀😀😀😀 niendelee au????
Umekazania sana hiyo video wakati hao ni Upinzani lazima waropoke vyovyote vile wapendavyo
leo hii Kenya Sukari ni Ksh 260
Sasa hilo anaifahamu huyo
Igeuze kwa shilingi ya Tanzania Wapi kwenye Afadhali
😀😀😀😀😀😀 HEHE POVU RUKSA
 
saud arabia,UAE, Qatar 100% desert lakin huwez kuskia hawana chakula 😀😀😀😀😀 wakat wewe arable land anamiliki kenyatta na settlers wanapanda maua kupeleka ulaya wakat wakenya wananjaa na ukame

kenyatta and his family own land of keeping 20million kenyans
Saudi Arabia asante sana.

Saudis have oil. Largest oil producers in the world**

Uzuri wa hizi arid and semiarid areas ni Kuwa wana MAFUTA tena mengi sana. We are on this path
 
''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?

Wale wale watu ambao tuliwalalamikia wale wale walilalamikiwa na wachimbaji wadogo wa Mererani mmewarudisha mre mre ndani ya ukuta. Yani ni jambo la ajabu...yani wamewapa nini? mtuambie Mweshimiwa mpango! mtuambie kwamba mnawadanganya watanzania.

Leo unakuja hapa unatuambia upandishe bei ya bidhaa. Sisi kwa mfano tunaishi mipakani, tuna advantage ya kuishi mipakani. Leo sukari kutoka kenya shillingi 1200 Tanzania pare Sirari, Sukari yenu kutoka Kagera sugar(2200) shilingi elfu mbili na mia mbili. Unataka mtu wa Tarime aumie kwa expense yako?

Mfuko wa sementi wa bamburi shs 14,000, mfuko wa simenti wa twiga shs 22,000 hamtaki mtanzania wa Tarime anunue mfuko Kenya. Kama mnataka viwanda vyenu vishindane vilete simenti kwa bei competitive na ya Kenya watanzania wenyewe wachague wataunua wapi''.
hvi wewe unaeza shindana na tanzania kwenye saruji???😀😀😀😀😀 ujue nimesoma maelezo yako nimecheka sna nimeona ulivomjinga sana yani ushindane na tanzania kwenye inflation hhahah pole sana mfuko wa cement bei ya jumla sasa hvi tsh 11000 50kg sawa na 480ksh sasa nioneshe ni wapi kenya nzima utapata cement 50 kg kwa 480 ksh ukipata nitag😛😛😛😛😛😛😛
 
Saudi Arabia asante sana.

Saudis have oil. Largest oil producers in the world**

Uzuri wa hizi arid and semiarid areas ni Kuwa wana MAFUTA tena mengi sana. We are on this path
so have oil but huskii wana njaa nyie njaa inawauwa kila siku dont u have arable land au kwa vile settlers anapanda maua nyie mko radhi kufa njaa😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom