Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo Gas KENYA itanunua kutoka kwenu na tuConnect nyumba nyingi iwezakanavyo wakenya wafurahie maisha.

Nyinyi hiyo wakati Sidhani hii ndio itakua the norm
sisi tushaanza kuconnect kwenye nyumba za watanzania na sasa tunataka kujenga gas pipeline to uganda😀😀😀😀
 
ukhekhe wanapitisha bomba huku litaajiri watanzania elfu 10 na litaingizia pesa tanzania kwa mwaka zaidi ya 1b usd😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii ndio akili ya watu wanaotangamana na waKenya.

Wanapata BUSARA na kuTake advantage of the situation. Hii pesa watakayo wapatia ni CHANGE kwa pesa watakayo pata kupitia Hii mafuta. (UGANDA Hiii! No love lost! Get that money!)
 
na watu wanapokufa na njaa kila mwaka wanakosa vp chakula??😀😀😀😀😀😀😀
Wanakosa chakula kwa sababu mKenya ameziweka kwa store. MKenya anangoja bei ya kununua UNGA na kadhalika itapanda ..alafu POW!

Pesa inakua generated.
 
I hate people who litter, anyway damn PRISM tower looking fresh and fine.
Deb5WbnX0AAMDAu.jpg:large
 
Wanakosa chakula kwa sababu mKenya ameziweka kwa store. MKenya anangoja bei ya kununua UNGA na kadhalika itapanda ..alafu POW!

Pesa inakua generated.
ahhahahhah unajitekenya kisha unacheka mwenyewe😀😀😀😀😀😀
 
ukhekhe wanapitisha bomba huku litaajiri watanzania elfu 10 na litaingizia pesa tanzania kwa mwaka zaidi ya 1b usd😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii pesa CHANGE kwa pesa ambazo Uganda Watapata.

Kwa biashara. MKenya (na mGanda pia siku hizi) ukifanya na yeye biashara hawezi kukuacha bila kitu. Atakupa za macho kwa sababu umemsaidia (LABOUR)

Lakini muhimu ni kuwa hawezi kupatia more than 20% of the LOOT
 
sisi tushaanza kuconnect kwenye nyumba za watanzania na sasa tunataka kujenga gas pipeline to uganda😀😀😀😀
Mkikosa market (kwa sababu purchasing power ya mTZ nasikitika si ya kuridhisha) Leteni Kenya. Tunayanunua
 
Hii pesa CHANGE kwa pesa ambazo Uganda Watapata.

Kwa biashara. MKenya (na mGanda pia siku hizi) ukifanya na yeye biashara hawezi kukuacha bila kitu. Atakupa za macho kwa sababu umemsaidia (LABOUR)

Lakini muhimu ni kuwa hawezi kupatia more than 20% of the LOOT
yani uganda kupistisha bomba lake tanzania mulilia kweli kweli na matusi juuu hahah😀😀😀😀😀
 
Mkikosa market (kwa sababu purchasing power ya mTZ nasikitika si ya kuridhisha) Leteni Kenya. Tunayanunua
chakula huwez kununua itakua gas😀😀😀😀😀😀 watu pokot lamu lokichar etc wanakufa wao na mifugo yao
 
heheh hatari anashindwa kupigana na njaa😀😀😀😀😀😀😀
Kumbuka Kenya (due to the fact that you cannot beat nature) more than half the country ni ARID and SEMI ARID areas.

Ukame hutokea Kenya.

Uzuri ni mKenya mtu wa ajabu. Mtu wa kufikiria na kutatua shida zinazomkumba.

Northern areas Kenya inakua transformed. Yaani mabarabara zinaundwa KUUNDWA (ili eventually wakue accessible nao pia maisha ibadilike kwa sababu services will spread to them)

Northern Kenya hatari. Hao ndio the next frontier. LAPSSET, Lake Turkana wind project, OUR OWN PIPELINE.....You name it!

Na ni vitu ambazo ziko on the ground. Sio chocha
 
chakula huwez kununua itakua gas😀😀😀😀😀😀 watu pokot lamu lokichar etc wanakufa wao na mifugo yao
''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?

Wale wale watu ambao tuliwalalamikia wale wale walilalamikiwa na wachimbaji wadogo wa Mererani mmewarudisha mre mre ndani ya ukuta. Yani ni jambo la ajabu...yani wamewapa nini? mtuambie Mweshimiwa mpango! mtuambie kwamba mnawadanganya watanzania.

Leo unakuja hapa unatuambia upandishe bei ya bidhaa. Sisi kwa mfano tunaishi mipakani, tuna advantage ya kuishi mipakani. Leo sukari kutoka kenya shillingi 1200 Tanzania pare Sirari, Sukari yenu kutoka Kagera sugar(2200) shilingi elfu mbili na mia mbili. Unataka mtu wa Tarime aumie kwa expense yako?

Mfuko wa sementi wa bamburi shs 14,000, mfuko wa simenti wa twiga shs 22,000 hamtaki mtanzania wa Tarime anunue mfuko Kenya. Kama mnataka viwanda vyenu vishindane vilete simenti kwa bei competitive na ya Kenya watanzania wenyewe wachague wataunua wapi''.
 
Back
Top Bottom