Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siri zipi
Wacha ujinga na upotoshaji
sisi hatuandiki mikataba mibovu my friend ndio maana reli ya kisasa africa inejengwa na ncji mbili from europe😀😀😀😀
😛😛
The national budget statements and financial data seen by TUKO.co.ke on Thursday, June 14, showed Tanzania, Uganda and Rwanda's budget totaled to about KSh 1.5 trillion, which is half of Kenya's KSh 3.07 budget. Each of the the four East African economies had its key priority areas in the 2018/19 financial year, with things like health care and infrastructure development dominating. Read more: Kenya’s 2018/2019 budget dwarfs Tanzania, Uganda and Rwanda’s combined
 
asvptx
2495AB26-4D31-420F-AADE-7F4C1CE45E25.jpeg
058F7C40-F625-4DFF-9EA9-E576145F19E1.jpeg
 
asvptx the modern footbal stadium in east and central africa and on of the expensive stadium in africa achilia mbali unaojengwa dodoma😀😀😀😀
CC964E99-22DD-4D6D-A426-B9AA9DC60F35.jpeg
 
Haha haya basi
(32T Tsh/25)= 1.2T Ksh pesa zinazoibiwa Kenya miaka moja na nusu tu
kama hizo zinaibiwa mbona reli ujenzi mumekopa loan kwa mchina 😀😀😀😀😀 na bado kawarambisha mavi ya bata
 
kama hizo zinaibiwa mbona reli ujenzi mumekopa loan kwa mchina 😀😀😀😀😀 na bado kawarambisha mavi ya bata
Kwa sababu tuko na uwezo, tunaweza kuimudu na tutaweza kuimudu.

Kenya hatari sana my fren. Apana cheza na Kenya. Economy itaendelea kukua na tunaendelea kuomba deni kwa sababu tutailipa sisi wenyewe
 
Kwa sababu tuko na uwezo, tunaweza kuimudu na tutaweza kuimudu.

Kenya hatari sana my fren. Apana cheza na Kenya. Economy itaendelea kukua na tunaendelea kuomba deni kwa sababu tutailipa sisi wenyewe
munauwezo na debt to Gdp ratio is 60% heheh inaonekana economy u knw nothing😀😀😀
 
asvptx the modern footbal stadium in east and central africa and on of the expensive stadium in africa achilia mbali unaojengwa dodoma😀😀😀😀
View attachment 802394
Uwanja expensive ina manufaa gani?
Kenya sportwise tumewatandika kama nyoka lakini uwanja zipo ambazo main thing ni Kuwa michezo inaweza chezwa.

So Uwanja maridadi usiringie wakenya. WaKenya watu hatari hawafurahishwi na vitu za macho
 
hehehe tumemsajili mchezaji wa gor mahia tumempa na range rover anasema alikua hana ndoto ya kuendesha range na alikua anadandia sacco kwenda uwanjani😀😀😀😀😀 na ile bus yenu chakavu ya tuzo
 
Hata huna adabu na haya ukiongeza 40B kwa hiyo 1.2T ndio ifike 1.6T

Unajua 40B imeibiwa mara ngapi Kenya?
imeiniwaa na kenyatta ndio maana muko kwenye slums na chakula hakuna mpaka yesu anashuka 😀😀 even a dream to have a house ni kama kusubiri boti airport
 
munauwezo na debt to Gdp ratio is 60% heheh inaonekana economy u knw nothing😀😀😀
You are the one that knows nothing.

Nilishakuambia kina America, Japan, Germany, Italy ata SA wako na debt to GDP ratio more than 100% wengine 300%

What is 60%?
 
Back
Top Bottom