Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Es Salaam

IMG_1769.JPG
 
Kitu ingine buda KEBS yetu ni ISO certified entity. Haiwezi kubali substandard ama harmful substances to the Kenyan populace. Kabla muzidi kusherekea fake news kutoka Kenya afadhali mfanye consultations mjue what's real and what's not
 
Mtoto ni wewe na mamako...

Mashada was spreading hate amongst tribes.. personally most Kenyans were for its closure..

JF does not devide Tanzanians it actually brings them closer.
Ah! Kumbe kwelI Kenya kuna forum ilifutwa!
Bora na sie kumbe
 
EASS temple, Parklands
1st swaminarayan temple built outside India
tapatalk_1530682256559.jpeg
tapatalk_1530682253759.jpeg
 
Hizi ma Vinyerezi zote Sijawai sikia. Kwa hivyo ata bado hamjafukua umeme.. Sijui stiglers gorge ziko wapi? Ziko na umeme hazina?

Tanzania mnataka treni za umeme huku Electricity penetration countrywide haijapita 25% ??? Mkifikiria vizuuuri gani muhimu?

Ndio maana niliwaambia Kenya kuna taratibu. Electricity penetration countrywide iko around 69% ikielekea 75% lakini wahandisi wa SGR waliona busara treni zitumie diesel for now, tukishapata umeme wa kutosha basi tunaweza ku upgrade SGR ikue electric

Treni zenu zitatumia umeme gani? Ama mnaongelea vision 2055?
Mahitaji ya umeme kwa sasa Tz ni 1300MW na nchi inatoa 1500MW lakini dira yetu kufikia 2020 ni kutoa 5000MW

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
ww nadhani unafkiri hii ni ile tz ya 90s heheh eti tz electricity haija penetrate 25? we mzima kweli wewe??
😀😀😀😀 au mulijua tupo tu tumekaa tunawaangalia

access to electricity tanzania is over 77% my friend hakuna maneno ya porojo hapa na eka akilini miradi yote niliokutajia ujenzi unaenda kwa kasi sana

sisi hua hatumbii kufanya kitu pasipokua na akili kama nyie munaenda ingia deni kubwa munaletewa vyuma chakavu sisi hatuendi hvo kila jambo linafanyiwa tathmini na mradi wa electric modern train ikikamilika ndio itakua modern electric train in africa najua sana unaumia ila vumilia tu hakuna namna
World Bank msema kweli.. Tanzania 32%
Kenya 56%

Lamba lolo
IMG_20180704_085457_518.jpg
IMG_20180704_085549_699.jpg
IMG_20180704_085520_677.jpg
 
Back
Top Bottom