Dawa gani whilst the rot in Tz has been exposed? niliwambia budget yenyu 2018/19 haifiki 14 trillion nikapuuzwa with a deficit of another 2 trillion. sasa pesa ya kujenga reli ipo wapi?Wazee wa upper hill & Westland wako wap tumerejea kuwapaka dawa
Hehehe sasa siri zenu zi wazi babaa.Kama kawa kama dawa mapambano yanaendelea
Nani alikudanganya kuna siri JF?Hehehe sasa siri zenu zi wazi babaa.
14trillions pesa ya nchi gani iyo?Dawa gani whilst the rot in Tz has been exposed? niliwambia budget yenyu 2018/19 haifiki 14 trillion nikapuuzwa with a deficit of another 2 trillion. sasa pesa ya kujenga reli ipo wapi?
Siri zipiHehehe sasa siri zenu zi wazi babaa.
Wacha kujiaibisha kijanaDawa gani whilst the rot in Tz has been exposed? niliwambia budget yenyu 2018/19 haifiki 14 trillion nikapuuzwa with a deficit of another 2 trillion. sasa pesa ya kujenga reli ipo wapi?
Wanajifanya hawaoni but hawataamini ,Na sio reli pekee kila idara wanafanya yaoWacha kujiaibisha kijana
Hujui hata kile unacho kizungumzia wewe mwenyewe
Reli inajengwa usiku na mchana
Bado unatuletea hadith
😀😀😀🙄🙄🙄Wanajifanya hawaoni but hawataamini ,Na sio reli pekee kila idara wanafanya yao
ZImefika floor ya ngapi



See how beautiful is Dar es SalaamAfadhali jamii forum imerejea. Nilikuwa nimeboeka sana.