Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekua vizuri kuchukua hizo picha unazodai kua sio Dar na kupost na sehemu hizohizo za Dar halisia ili tulinganishe na tubainishe kua ukweli hapo si Dar.. Bure tutakubali hapo ni Dar mkuu
ww ndio upost picha halisi za dar sio kuforce kuchukua picha za siera lione na congo alaf useme dar 😀😀😀 tulishawazoea ndio maana hatuna haraka na nyie
 
😀😀😀😀😀
63648944-7C91-4BA6-BB0C-BC5524C67F5B.jpeg
6F5F9FBF-6C9A-41E9-9B5D-0B90A54B7A0A.jpeg
 
endelea kuedit na kutoa machozi😀😀😀😀
Yaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leo😀😀😀😀
 
ukheukhe endelea kuedit post na kutoa machozi naona sasa umekuja kivingine😀😀😀😀😀
 
Sisi tunaifurahia na kuikubali JIJI KUU
Nacheki nyinyi mnakataa kuikubali mji wenu. Sasa Itakuaje Dar imeizidi NBO kama wenyewe hawaifurahii mji wao?
Yaani mwenye alichukua iyo video ndege ikiwa juu kanifungua macho video dakika saba na kila mahali ni slum alafu wamaimba kibera hapa😀😀😀😀
 
Yaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leo😀😀😀😀
endelea kujidanganya nakujifurahisha
 
ww ndio upost picha halisi za dar sio kuforce kuchukua picha za siera lione na congo alaf useme dar 😀😀😀 tulishawazoea ndio maana hatuna haraka na nyie
Mkuu unakwepa maswala nyeti bana. Wewe ndiye ulie Dar. Wewe ndio wa kuthibitisha ukweli ama uongo wa MJI WENU. Hivi tuseme hizo picha ni za kweli na tusonge mbele.

Watanzania nyinyi forever hamna haraka? waKenya ni watu wenye kuzingatia mda
 
na sisi tunajenga the modern electric train in africa😀😀😀😀😀😀😀
Alafu ikimbie na umeme gani? Sisi waKenya ni watu wa taratibu. Hizi treni zinatumia diesel kwa sasa manze na bado Zi kasi (120kph na 100kph) SGR imejengwa in such a way that electrification will be done once we have the capacity from the COAL, GEOTHERMAL and WIND plants. Isitoshe, wenzetu ETHIOPIA wameunda mabwawa kubwa sana yenye itatoa 6000MW of electricity ambayo ni more than what they require, therefore they will export electricity to Kenya. Hii SGR yetu mnayo idharau itakuja kuwaonesha maneno
 
Mkuu unakwepa maswala nyeti bana. Wewe ndiye ulie Dar. Wewe ndio wa kuthibitisha ukweli ama uongo wa MJI WENU. Hivi tuseme hizo picha ni za kweli na tusonge mbele.

Watanzania nyinyi forever hamna haraka? waKenya ni watu wenye kuzingatia mda
nioneshe sehemu ambayo ww una claim ni dar haha wewe usikimbie mjadala kama unayo sehem unayosema ni dar onesha hapa kama huna basi okota picha google kama mwenzio na useme dar😀😀😀😀😀
 
sawa watanzania ni watu wasio na haraka ....forever
 
nioneshe sehemu ambayo ww una claim ni dar haha wewe usikimbie mjadala kama unayo sehem unayosema ni dar onesha hapa kama huna basi okota picha google kama mwenzio na useme dar😀😀😀😀😀
BOTTAS mwoneshe hizo Picha kwa mara nyingine.

Mimi sina picha za Dar kwa sababu hainivutii ninavyovutiwa na NBO. nyinyi Hadi mna picha za Nairobi ni kama mnaimezea mate kwa umbali.. Namna gani?
 
Alafu ikimbie na umeme gani? Sisi waKenya ni watu wa taratibu. Hizi treni zinatumia diesel kwa sasa manze na bado Zi kasi (120kph na 100kph) SGR imejengwa in such a way that electrification will be done once we have the capacity from the COAL, GEOTHERMAL and WIND plants. Isitoshe, wenzetu ETHIOPIA wameunda mabwawa kubwa sana yenye itatoa 6000MW of electricity ambayo ni more than what they require, therefore they will export electricity to Kenya. Hii SGR yetu mnayo idharau itakuja kuwaonesha maneno
120km per hr na 80km per hr rekebisha kauli yako hahahah
stiglers gorge 2100MW
kinyerezi two 240MW
kinyerezi three 400MW
kinyerezi four. 600MW
kinyerezi one 180MW

mtwara natural gas. 600MW

unafkiri tunajenga electric bila akili tu hehhe nyie kwenye SGR mlifeli mchina kawachakaza 4b usd nai to msa kawaletea train zilizotumika 50yrs ago nchi zinasonga mbele nyie munarudi 50yrs nyuma😀😀😀
 
BOTTAS mwoneshe hizo Picha kwa mara nyingine.

Mimi sina picha za Dar kwa sababu hainivutii ninavyovutiwa na NBO. nyinyi Hadi mna picha za Nairobi ni kama mnaimezea mate kwa umbali.. Namna gani?
mwambie alete hapa na uthibitisho mm ntamjibu kutumia google earth kitu mubashara😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom