Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkifikia level hii munitag
8e0b3f3d26feda2d23f2c395ec6c80b8.jpg
aaeaaqaaaaaaaapkaaaajgnmmwnjnte2lwuxy2qtngvloc1izdq2ltbhnjdhztm1mwi0za-jpg.547664
Yaaani dar ya 2018 hadi raha😀😀😀😀
Screenshot_2018-06-25-10-34-57-93.png
Screenshot_2018-06-25-10-36-04-70.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-21-47.png
😀😀😀 nakose nimesema dar ama Mogadishu 😳😀😀😀😀
 
kwan ulizopost wewe hatujazoea kuziona walikuwepo wakina wanjala
Hizi tumezoea bana.. Inavutia lakini tunataka kuona more of Dar. Hii ni post ya karibu laki moja lakini bado Dar mnatuonyesha ni ile ile tu
wamepost mpaka wakawa wanarudia each second😀😀
 
ukweli gani ww walikuwepo wenzako wengi tu wakina wanjala ilibidi wakimbie mpaka leo hawajarudi😀😀
Inaonekana walikimbia kwa sababu kujadiliana na wewe pamoja na wenzako ilikua shida. Mimi nitaPost NAIROBI na kuwavumilia pia
 
Nbo haifiki ata Pretoria kuizidi Dar tabu ndio iwe jozi au kuala lumpur uchizi unatiba wahi sasa
Yaani hauna aibu ukilinganisha huu uchafu na na nairobi 😳😀😀😀😀
Screenshot_2018-06-25-10-35-45-99.png
Screenshot_2018-06-25-10-35-37-11.png
Screenshot_2018-06-25-10-38-08-15.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-30-03.png
Screenshot_2018-06-25-10-40-48-75.png
Screenshot_2018-06-25-10-35-44-02.png
yaani hii video nilikuwa naipiga screen shots nikilia venye kila mahali dar ni slum 😀😀😀😀😀
 
Halafu bahati mbaya wamekuja Dar.. trust me soon utasikia wengine wamesajiliwa Stand utd, Mbeya city and the likes. Kwanza viwanja wanavyo chezea Dar ni motisha tosha kukataa kurudi Kenya.
halafu mikenya inayopiga kelele niyahapa JF na niwale ambao hawajawahi fika dar ni nimaskini sana
 
Inaonekana walikimbia kwa sababu kujadiliana na wewe pamoja na wenzako ilikua shida. Mimi nitaPost NAIROBI na kuwavumilia pia
uhahaha walikuwepo watu zaidi yako wote wameshakimbia ndio maana nikakukaribisha kwanza karibu sana😀😀😀😀😀😀😀
Dar-BRT-32-of-32-1-e1499356672714.jpg
 
Nbo haifiki ata Pretoria kuizidi Dar tabu ndio iwe jozi au kuala lumpur uchizi unatiba wahi sasa
Dar ni uakulinganisha na Mogadishu yaani hii video ilinifungua macho kumbe kijitonyama ni majego kumi amnayo yamezungwa na uswszi alafu mnalinganisha na upperhill 😳😳
Screenshot_2018-06-25-10-41-26-73.png
alafu unalinganisha na na hii
tapatalk_1529227926939.jpeg
 
Sisi tunaifurahia na kuikubali JIJI KUU
Nacheki nyinyi mnakataa kuikubali mji wenu. Sasa Itakuaje Dar imeizidi NBO kama wenyewe hawaifurahii mji wao?
huyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vituko😀😀😀😀 wengine walipost mpaka picha za india wakasema dar

mukizidiwa ndio hua munafanya hvo😛😛😛
 
huyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vituko😀😀😀😀 wengine walipost mpaka picha za india wakasema dar

mukizidiwa ndio hua munafanya hvo😛😛😛
Ingekua vizuri kuchukua hizo picha unazodai kua sio Dar na kupost na sehemu hizohizo za Dar halisia ili tulinganishe na tubainishe kua ukweli hapo si Dar.. Bure tutakubali hapo ni Dar mkuu
 
Screenshot_2018-06-25-10-41-26-73.png
Screenshot_2018-06-25-10-41-17-95.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-25-62.png
Screenshot_2018-06-25-10-36-08-59.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-56-77.png
Screenshot_2018-06-25-10-35-57-24.png
Screenshot_2018-06-25-10-36-35-29.png
huyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vituko😀😀😀😀 wengine walipost mpaka picha za india wakasema
Screenshot_2018-06-25-10-41-26-73.png
Screenshot_2018-06-25-10-41-17-95.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-25-62.png
Screenshot_2018-06-25-10-36-08-59.png
Screenshot_2018-06-25-10-37-56-77.png
Screenshot_2018-06-25-10-35-57-24.png
Screenshot_2018-06-25-10-36-35-29.png
😀😀😀dar

mukizidiwa ndio hua munafanya hvo😛😛😛
Watanzania wote wenye akili timamu kujeni hapa mhakikishe hapa sio dar
 
Back
Top Bottom