Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

" It is very good house which is located Masaki it is unfirnished house 4Bedroom..."

Hata kama ngoso ilikam na meli mungu wangu, kwani meli ya Tanzanians ilikuwa hijacked before ifikishe kingereza? 😀😀View attachment 799173
Hehehe....umenichekesha kweli. Eti "unfurnished house". hiyo ni kali
 
Hawa watani zetu wasipojipanga vyema ndani ya miaka kumi na tano watapata shock maana pang'ang'a nyingi hakuna wanachofanya Tz ina misuli tunachohitaji ni kuweka vtu pamoja na huhakikisha kila tunachofanya tunapata matokeo chanya calculated risk,strategies,plans,implementation,manage,matokeo chanya here we go,huu ni wakati wetu wa kujikusanya vijana tupo wenye uwezo mkubwa na vision pia
mababu zenu walisema hivyo hivyo na bado vitukuu wenu watasema tu lakini kushika Kenya ni ndoto Kali.
 
Leo ni siku yako ya off naona hata kulala unalala masaa ya late night ama you double up as muindi's defender yani watchman?
mm sipangiwi na mtu muda wa kulala wala wakuamka😀😀😀😀😀 lexus inaumiza moyo mpaka leo
 
dar lux bus office
DBB5B9E6-A58D-412A-B758-5239BEBDF83B.jpeg
6FABD4F4-9960-4563-86BF-17F966597E20.jpeg
 
Back
Top Bottom