Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Ngoja nimuiteIchoboy atapita hii polepole kana kwamba hajaiona...I told him about 12 lanes na anaitisha 10 lanes....Dar itasoma number ya Nairobi hadi mwisho wa safari

Nimekuuliza zinaitwa aje? Sijakuuliza uniambie rumours.nakwambie usije enda kusimama mbele za watu ukaita thika ni 10lanes utachekwa 😀😀😀😀zimeungana vp wakat hzo zinaruhusu kuingia na kutoka highway
sijui kwa jina la kiingereza lakin kwa kiswahili ni barabara zinazoruhusu kuingia na kutoka highwayNimekuuliza zinaitwa aje? Sijakuuliza uniambie rumours.
hio iko magomeni dar es salaam😀😀😀Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika

Rent ni 1.5m ya Tz ama?

rudia swali lake alaf uje ujijibu mwenyewe lanes zimeshakutoa kamasi😀😀😀😀😀Rent ni 1.5m ya Tz ama?
Rent ni 1.5m ya Tz ama?
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
ukisogea pale mbele kidogo road imeisha inakuwa 3lane yaan ni hiko kipande tu.....wakenya kweli cheche za mavi ya mbuzihii ni 10 lanes ww akili unayo kweli hio ni 8 lanes hvi 10 lanes unaijua vzr wewe😀😀😀😀😀

kwa vile nzi hawapo nairobi😀😀😀inzi kwenye nyama! yaani nyumba za dar shida aisee..
Hawa watani zetu wasipojipanga vyema ndani ya miaka kumi na tano watapata shock maana pang'ang'a nyingi hakuna wanachofanya Tz ina misuli tunachohitaji ni kuweka vtu pamoja na huhakikisha kila tunachofanya tunapata matokeo chanya calculated risk,strategies,plans,implementation,manage,matokeo chanya here we go,huu ni wakati wetu wa kujikusanya vijana tupo wenye uwezo mkubwa na vision piaterminal 3 inawatoa roho wakenya hawana hamu😀😛😛😛😀😀