Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona sasa ulivyo mwehu!! unanionyesha nyumba za Tsh1.5 million which is Ksh75,000!! or you thought quoting them in dollars woukd scare me? $1,500 is equivalent to Ksh150,000. Nyumba za Ksh150,000 zimejaa westlands, kuleleshwa na kilimani. Niliuliza nyumba inalipishwa Ksh
400,000 (or Tsh8,000,000). Yani Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. Alafu zile za Tsh 1.5mln ulileta ni sawa na Ksh75,000. Hiyo ni rent kule lan'ata, Syokimau, South C na Loresho
sasa nyi mbona mnaleta maneno tu weka picha hapa ushahidi tuone hiyo takataka ya ksh 400000..tufurahi kidogo!!
 
narudia tena mkenya yoyote anatakaeniletea link
hotel kenya nzima per night ni 10000usd naomba anitag tafadhali😀😀😀😀😀
 
Hapana Dar es Sluum

Leo unapeleka muindi wapi?


Bado yeye ni mrs mboch, landscaper na car wash man hajawahi kuonyesha gari ya muindi?
lexus inakutoa raha mpaka leo msee wa kuchocha😀😀😀😀😀😀
 

hahhha kumbe presidenstial suite hehehheh😀😀
ila wewe kweli ni kenge 😛😛😛😛

so wewe kwa akili yako ulitegemea nn baada ya kuskia presidential suite hehehhehe🙄🙄🙄

yani wewe go east go west siku ukipata hotel kenya nzima 10000usd per night nitag
 
Muindi akikupatia Off Leo unitag.
wacha hasira basi msee wa kuchocha 😀😀
hapa ni wapi ?????

D99B7D6D-E628-4D1C-A897-A685A681B392.jpeg
 
Wewe pambana na Kericho, ya Bongo waachie wabongo.
Ya bongolala ni magumu kama hiyo slum ya dar na je pipeline mnayowategemea Uganda imefikia wapi?? Si wahenga walisema mtegemea cha nduguye hufa masikini na njia mbili zilimshinda fisi on a sasa Exxon wamewatoroka.
 
Back
Top Bottom