mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Chauffeur boy unajua presidential suite pia? 😀😀😀 muindi anafanya Kazi mzuri kukuelimisha.do u knw the meaning of presidential suite hehhe yani ww kilaza kweli kweli
Chauffeur boy unajua presidential suite pia? 😀😀😀 muindi anafanya Kazi mzuri kukuelimisha.do u knw the meaning of presidential suite hehhe yani ww kilaza kweli kweli
ukhekhee niletee link kua kenya nzima kuna hoteli ya 10000 usd per night nasubiria hapa😀😀Nilidhani ni dar kumbe ni uko island kempinsky 25000usd kwa ivo bado haina mpinzani huu ukanda
Nishakuekea kempinsky 25000 usd a night alafu unata tukimbizane kama paka na panya eh?https://www.forbes.com/sites/annabe...land-tanzanias-10000-a-night-private-retreat/
kenya nzima mkipata hoteli ya 10000 usd per night munitag plz musiache😀😀😀😀😀
Anataka uelewe kuwa Nairobi kuna za $15000Mbezi beach ziko nyumba $ 9000 tatizo lenu mnadhan Dunia inaishia apo 254
Ichoboy katuma hapa nyumba za $9000 umeishia kusema inauzwa tangu lini nyumba ikauzwa $9000 Masaki? ?na ww uko too sentimental unaanza kua miyeyushoWe've just proved you wrong. Wakati mnaruletea nyumba za Ksh 75,000 katika mitaa zenu tajika, huku Nairob kuna nyumba zinalipishwa hadi milioni moja za kikenya kila mwezi as rent. Za Ksh 250,000-Ksh600,000 nazo ziko everywhere. So umekubaliana nami?
Wewe tushakuzoea hapa. This is the same ulikuwa ukiitisha nyumba inalipishwa Ksh 400,000 per month ukaletewa hadi za milioni moja kwa mwezi. hehehekhekhekehekhe leo kutamu humu
siku ukiniletea hotel ya 10000 usd per night kenya nzima unitag😀😀😀😀😀😀
wow mr chocha karibu sana😀😀😀😀😀Chauffeur boy unajua presidential suite pia? 😀😀😀 muindi anafanya Kazi mzuri kukuelimisha.
fala kweli wewe😀😀😀😀 sasa dar umeitambua vzr dharau zako wewe zinakutia ujingaWewe tushakuzoea hapa. This is the same ulikuwa ukiitisha nyumba inalipishwa Ksh 400,000 per month ukaletewa hadi za milioni moja kwa mwezi. hehehe
Aliekwambia Dar hamna Ni nani?Anataka uelewe kuwa Nairobi kuna za $15000
Ichoboy mbona unalenga ii😀😀hawa hua wanadharau sana alaf wanajiina wako mbali kumbe ushuzi mtupu😀😛😛😀
Hizo ni nyumba za kununua, sio rentals. Nilishawaambia muende taratibu talize hii stiry ya rentals...za kununua runakuja nextMbezi beach ziko nyumba $ 9000 tatizo lenu mnadhan Dunia inaishia apo 254
niletee link kua kuna hoteli yoyote kenya nzima price per night ni 10000 usd ukipata link nitag😀😀😀Wewe ni wakuhurumiwa wewe kila kitu kubisha, tuletee iyo hoteli ya dar ya 10,000usd ama unyamaze
Basi leta, si kupiga mdomo.Aliekwambia Dar hamna Ni nani?
yani nyumba iuzwe masaki 9000 usd😀😀😀Hizo ni nyumba za kununua, sio rentals. Nilishawaambia muende taratibu talize hii stiry ya rentals...za kununua runakuja next
Huwezi nunua nyumba Masaki $9000Hizo ni nyumba za kununua, sio rentals. Nilishawaambia muende taratibu talize hii stiry ya rentals...za kununua runakuja next
Hakuna mtu anasema hakuna ata uganda na burundi am sure kunazo ila nairobi tunwambia hio ni rent ya kawaida kwa matajiri wa runda, kabete, karen, muthaiga etcAliekwambia Dar hamna Ni nani?
Leo mwarabu anapata majibu papo hapo!! hehe....anajaribu kila mbinu lakini wapi!!!
Leta izo nyumba za kawaida $ 1m tuone unafikiria hatuijui darHuwezi nunua nyumba Masaki $9000
Nyumba za kawaida kabsa ni $ 1M
Do you know thats the same shit youve been speaking about since the 90sHawa watani zetu wasipojipanga vyema ndani ya miaka kumi na tano watapata shock maana pang'ang'a nyingi hakuna wanachofanya Tz ina misuli tunachohitaji ni kuweka vtu pamoja na huhakikisha kila tunachofanya tunapata matokeo chanya calculated risk,strategies,plans,implementation,manage,matokeo chanya here we go,huu ni wakati wetu wa kujikusanya vijana tupo wenye uwezo mkubwa na vision pia
