Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi kulipa rent $10000 si ajabu my friend
uhahahha wakat tanzania kuna hotel ya 10000 usd per night 😀😀😀😀😀 ukiniletea hotel ya 10000 usd per night kenya nzima nitag😛😛😛
 
tafuta nyumba za adabu ulete hapa nikunyooshe vzr😀😀😀😀😀😀 usiniletee upuuzi huo
endelea kutoa povu, hapa si story za vijiweni.

g7pyZXNh.jpg

0QydaL4h.jpg

i960w6Hh.jpg
 
Mbona nisiwadharau wakati mnaleta nyumba za ksh75,000 kisha mnataka battle na Nairobi? Hizo ni nyumba za middle class Nairobi nashangaa huko kwenu ni za matajiri wa masaki na oysterbay...
ukheukeukhe😀😀😀😀😀
90D6B9EA-31E3-44FF-AA59-06589D3097C5.jpeg
 
Tuusan, you are one of the few Tanzanians I respect on this forum ila tuwacha ushabiki za kijinga. Narudia kwamba Dar nzima gakuna estate inaweza linganishwa na zile mitaa nilitaja hapo awali. Sasa kama government officials, ambassadors na CEOs wanaishi oysterbay na masaki so what? of course these two are the best estates in dar so do you expect them to live elsewhere? hata kule Bujumbura na Mogadishu kuna mitaa where EOs and ministers live but are they better than those in Dar? Dar nzina hakuna mtaa inawesha shinda za Nairobi tuwache ushabiki
Apo siwez kukubaliana nawe...
22450093_1843914379254736_1890250316978566048_n.jpg
IMG_20171224_160954_740.jpg
25025236_345159452556411_4428971976442249216_n.jpg
IMG_20171230_192304_336.jpg
22552322_1843914419254732_1864679255399060234_n.jpg
tapatalk_1518870127373.jpeg
 
chakwanza hio ni hoteli cha pili leta ushahidi kua iko nairobi😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀 Wah ati hoteli? Na hio sio nyumba moja ni nyumba mbili yaani runda ni kama Beverly hills aisee😀😀😀 Sawa nenda skyscrapercity alafu uende kwa uzi wa "genuine wealthy neighborhood in africa" utazipata izi nyumba uko na zingine mingi ukifuata uzi😀😀😀😀
 
😀😀😀😀😀 Wah ati hoteli? Na hio sio nyumba moja ni nyumba mbili yaani runda ni kama Beverly hills aisee😀😀😀 Sawa nenda skyscrapercity alafu uende kwa uzi wa "genuine wealthy neighborhood in africa" utazipata izi nyumba uko na zingine mingi ukifuata uzi😀😀😀😀
khekhekehekhe leo kutamu humu
siku ukiniletea hotel ya 10000 usd per night kenya nzima unitag😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom