ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hehhehe 8 lanes anasema 10lanes nimecheka sana kumbe huyo ni bogus sana😀😀😀😀😀how long is it??
hehhehe 8 lanes anasema 10lanes nimecheka sana kumbe huyo ni bogus sana😀😀😀😀😀how long is it??
siunaona ulivo fala sasa unahesabu na barabara za michepuko za kutoka na kuingia highway😀😀😀 we kenge kweliMultiply by 2View attachment 798938
uhahhaha 8lanes unasema 10lanes😀😀😀😀endelea kutoa povu!
View attachment 798943
usisahau kinitag dar is slum ikipata 12 lane highway.
***btw bado nangoja challenge ya terminal3 vs Nairobi SGR terminus.
Thika road is 8 lanes for express driving..the extra 4 each side ni za p.s.v.. Yani publiv service vehicles..za matatu..soo uringe na ma brt zenyuhehhehe 8 lanes anasema 10lanes nimecheka sana kumbe huyo ni bogus sana😀😀😀😀😀
Kwani izo michepuko si barabara? Ama zinaka maji kwako.siunaona ulivo fala sasa unahesabu na barabara za michepuko za kutoka na kuingia highway😀😀😀 we kenge kweli
listen u bogus huwez kuhesabu njia za kuingia na kutoka kwenye highway ukaita 10 lanesThika road is 8 lanes for express driving..the extra 4 each side ni za p.s.v.. Yani publiv service vehicles..za matatu..soo uringe na ma brt zenyu
Tuusan, you are one of the few Tanzanians I respect on this forum ila tuwacha ushabiki za kijinga. Narudia kwamba Dar nzima gakuna estate inaweza linganishwa na zile mitaa nilitaja hapo awali. Sasa kama government officials, ambassadors na CEOs wanaishi oysterbay na masaki so what? of course these two are the best estates in dar so do you expect them to live elsewhere? hata kule Bujumbura na Mogadishu kuna mitaa where EOs and ministers live but are they better than those in Dar? Dar nzina hakuna mtaa inawesha shinda za Nairobi tuwache ushabikiYaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
so barabara ya 400m ikiingia kulia unasema ni lane hvi wewe akili yako iko sawa kweli???😀😀😀Kwani izo michepuko si barabara? Ama zinaka maji kwako.
hehhee wewe endelea kulia na terminal 3😀😀siwezi bishana na mtu hajui kuhesabu! kwanza katafute definition ya lane kisha urudi hapa umeze vidonge!
naona umekubali matokeo, sasa endelea kutoa povu.hehhee wewe endelea kulia na terminal 3😀😀
Ebu sema venye zinaitwa once zimeungana na the express one. Just tell me the name.so barabara ya 400m ikiingia kulia unasema ni lane hvi wewe akili yako iko sawa kweli???😀😀😀
ukhakhakaha terminal 3 baby the ultra modern terminal in east and central africa😀😀😀😀naona umekubali matokeo, sasa endelea kutoa povu.
nakwambie usije enda kusimama mbele za watu ukaita thika ni 10lanes utachekwa 😀😀😀😀zimeungana vp wakat hzo zinaruhusu kuingia na kutoka highwayEbu sema venye zinaitwa once zimeungana the express one. Just tell me the name.
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalikaYaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..