Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta link hapa nikunyooshe😀😀😀😀
IMG_20180610_002845_621.JPG

IMG_20180610_002859_111.JPG

Booking Search Room Availability

sasa wewe leta evidence kuwa dar kuna hoteli ina room ya $10,000 per night sababu kwa nyumba tumekulambisha sakafu.
 
We already know that Tanzania education system is shit but holy mother of god.....dude, you can't count?

Yet you people wonder why kenyans call yall bongo-lala
If that's true, then how come (US) State Universities accept the equivalence of 33 college credits, transferred directly from NECTA for 'A' levels science students but they don't do the same to their Kenyan counterpart.
 
Alafu tuliza wenge izo nyumba ziko mikocheni usipagawe game bado inaendelea, Masaki huoni nyumba za $3000>?
Unabishana kijinga nyumba mingi za kitisuru, runda, muthaiga karen na lower kabete range ya rent ni kuanzia $4000-$15000 na utapata izo nyumba zimejaa tenants wakenya alafu we utatuletea vijipartment ni tajiri mgani wa kweli anaeza ishi aparments ?
 
Unabishana kijinga nyumba mingi za kitisuru, runda, muthaiga karen na lower kabete range ya rent ni kuanzia $4000-$15000 na utapata izo nyumba zimejaa tenants wakenya alafu we utatuletea vijipartment ni tajiri mgani wa kweli anaeza ishi aparments ?
10000 usd
D6BA6559-FB87-46C8-86E0-05FF18BA2BEF.png
 
do u think ur so clever😀😀😀😀
unaniletea villa rosa bei za nje unasema nairobi hehehheheh nimecheka sana aisee sijapata kuona mkenya fala kama wewe

link uliotuma wewe hakuna ushahidi wowote
Wewe ni wakuhurumiwa wewe kila kitu kubisha, tuletee iyo hoteli ya dar ya 10,000usd ama unyamaze
 
hakuna kitu kama hicho sehemu za watu wenye kipato cha chini ndiyo mara nyingi huwa hivyo......ila sehemu hizo hizo. pia wapo wanaojiweza .......
kikubwa hatuna picha za maeneo mengi sana ningrkuwa photographer ningeifanya hiyo kazi ili niweze kuwaonyesha aerial view ya maeneo mengine
Sasa unangoja upelekwe shule ya photography na magufuli uweze kupiga Picha? wacha ujinga piga Picha uweke hapa brary fekin.
 
Wewe ni wakuhurumiwa wewe kila kitu kubisha, tuletee iyo hoteli ya dar ya 10,000usd ama unyamaze
wewe ni mjinga sana niletee link kua kuna hoteli yoyote kenya nzima price ni 10000 usd per night😀😀😀
 
Number one mtaa wowote uko na apartment usijaribu kuleta hapa, ati ambassadors wanaishi uku yaani?
Wangejua kwamba kutafuta apartments kule Muthaiga, Runda au karen ni sawa na kutafuta sukari ndani ya chai hawangeleta hizo picha hapa
 
Back
Top Bottom