Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona sasa ulivyo mwehu!! unanionyesha nyumba za Tsh1.5 million which is Ksh75,000!! or you thought quoting them in dollars woukd scare me? $1,500 is equivalent to Ksh150,000. Nyumba za Ksh150,000 zimejaa westlands, kuleleshwa na kilimani. Niliuliza nyumba inalipishwa Ksh
400,000 (or Tsh8,000,00). Yani Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. Alafu zile za Tsh 1.5mln ulileta ni sawa na Ksh75,000. Hiyo ni rent kule lan'ata, Syokimau, South C na Loresho
leta ushahidi kua kuna nyumba nairobi rent ni ks 400,000 hapa 😀😀😀😀😀😀😀
 
I guess hajui mbona naconvert prices...Anadhani niko side yake😀😀😀
 
leta ushahidi kua kuna nyumba nairobi rent ni ks 400,000 hapa 😀😀😀😀😀😀😀
Mara that that😀😀
Screenshot_20180609-232659.png
Screenshot_20180609-232647.png
 
kws real estate, tanzagiza ni kitukuu wa kenya ndio maana ichoboy01 nimekwambia uondoe inzi kwa nyama!

IMG_20180609_233100_822.JPG
 
Nicxie niendelee au unaenda kulala😀😀😀
Endelea....ukifika ya $4,000 per month iniambia...unazoleta saa hii zinapatikana katika mitaa za kawaida tu kama vile Lang'ata, South C na Syokimau. Ukifika level ya muthaiga, Karen na Runda unijulishe
 
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
ndiyo maana tunakuambia dar hauijui .....hiyo ni pesa ndogo sana watu wanalipa 2M Per month ha haaa umenichekesha sana
 
Hawa watani zetu wasipojipanga vyema ndani ya miaka kumi na tano watapata shock maana pang'ang'a nyingi hakuna wanachofanya Tz ina misuli tunachohitaji ni kuweka vtu pamoja na huhakikisha kila tunachofanya tunapata matokeo chanya calculated risk,strategies,plans,implementation,manage,matokeo chanya here we go,huu ni wakati wetu wa kujikusanya vijana tupo wenye uwezo mkubwa na vision pia
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom