Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
nilikuwa nakuchimba tu pole pole...Ndugu yangu huku kuna hadi za Ksh800,000 per month...Hizo ni 26 million za kibongo...za ksh400,000 nazo zimejaa, sio hata moja au mbili. Soma hii link hapa
Property for Rent in Muthaiga Area, Muthaiga
Jua iyo 2M yenyu ni Ksh 100,000/=
leta zenu................Ebu leta izo za oyesterbay tuchape hesabu
nilikuwa nakuchimba tu pole pole...Ndugu yangu huku kuna hadi za Ksh800,000 per month...Hizo ni 26 million za kibongo...za ksh400,000 nazo zimejaa, sio hata moja au mbili. Soma hii link hapa
Property for Rent in Muthaiga Area, Muthaiga
75,000 ni rent ya nyumba kule Syokimau lakini Dar, hiyo pesa unapata nayo nyumba kule masaki...halafu wanapiga kelele vile Masaki sijui oysterbay ni mitaa ya nguvu kuliko yoyote ile Nairobi. hawa wabongo wanacekesha kweli....Nimemwekea ya Ksh800,000 ngoha niskie vile atasemaThis one is Ksh 75000
ni kenyahapa ni
hapa ni dar??😀😀😀😀😀😀😀😀
ni muda tu watakuja kujifunza vingi tu kama ilivyo kwny BRT itakuja ingine somo likingine na lingine mwishowe watakuwa na a batch of homeworkskweli kabisa
ukhekhe 😀😀😀😀😀😀75,000 ni rent ya nyumba kule Syokimau lakini Dar, hiyo pesa unapata nayo nyumba kule masaki...halafu wanapiga kelele vile Masaki sijui oysterbay ni mitaa ya nguvu kuliko yoyote ile Nairobi. hawa wabongo wanacekesha kweli....Nimemwekea ya Ksh800,000 ngoha niskie vile atasema
ha haaaaaa toa vinyesi hivyo......old school
Wapi imeandikwa kwamba ni $5,000? Hapo naona figures tatu:$5,000, $192,365 na $2,003 so what exactly are they talking about? Hizo figures mingi wameka hapo ni za nini? Hata kwa kuangalia tu, hiyo nyba haiwezi zidisha Ksh100,000
duuuh hiyo nyumba imekaa vile inafaa yawe makazi ya popokws real estate, tanzagiza ni kitukuu wa kenya ndio maana ichoboy01 nimekwambia uondoe inzi kwa nyama!
View attachment 799040
Niletee nyumba kama baadhi ya hizi ambazo ziko runda alafu twende kazi si mdomo tuYaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
achana nao......wapo zero sana haotiba nishakupa mbona😀😀😀😀😀
tafuta nyumba za adabu ulete hapa nikunyooshe vzr😀😀😀😀😀😀 usiniletee upuuzi huo
Mwambie nyumba kama hii nairobi utakondisha 6000-10000 kwa mwezi na si kitu ya ajabu
chakwanza hio ni hoteli cha pili leta ushahidi kua iko nairobi😀😀😀😀😀😀Niletee nyumba kama baadhi ya hizi ambazo ziko runda alafu twende kazi si mdomo tuView attachment 799078 View attachment 799079 View attachment 799083 View attachment 799085 View attachment 799087 View attachment 799092 View attachment 799095 View attachment 799097 View attachment 799098 View attachment 799099
Mbona nisiwadharau wakati mnaleta nyumba za ksh75,000 kisha mnataka battle na Nairobi? Hizo ni nyumba za middle class Nairobi nashangaa huko kwenu ni za matajiri wa masaki na oysterbay...ukhekhe 😀😀😀😀😀😀
tatizo lako wewe dharau zimekujaa sana ndio maana kila kitu unaonekana mjinga
Nairobi kulipa rent $10000 si ajabu my friendYaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..