tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
wakenya wanakariri maisha..!!![]()
mpe onyo asige atakufa njaa
Dar free Market O'bay ...
Nyangau mje mfurahi mjini Dsm karibuni sanaView attachment 798383
hauna street hizo.....au kipofu,,,,tena na isitoshe hayo ni maeneo wanayoishi watu wa hali ya chini ila kupo poa,,,,lete sehemu yenu wanayoishi watu wakipato cha chiniLmao, cheki kwenye BRT hupeleka watu 😱
yaani ni kama mtu katoka navyo huko hivyo vibanda katika kiroba kafika tu hapo kavimwaga..!!how do people survive kwenye nyumba wall ni mabati bado nashangaa sana aisee
View attachment 798120 View attachment 798121 View attachment 798122 View attachment 798123
View attachment 798124
View attachment 798125
View attachment 798126
Pamekaa kinyonge sanaTUKO NA MOMBASA YETU
View attachment 798388
ndiyo maana tunawaambiaga sehemu kama ni dar huwa tunakubali hatupingi ila kama siyo dar lazima tuwapinge...Leo Ichoboy ajaomba link😀😀😀😀
I guese these are houses for 98% employed. Ichoboy ebu tuonyeshe za 2% unemployed😀
ukha ukaha ukaha maumivu makali sana umeyaonesha leo😀😀😀😀😀😀 wewe ndio unaepangisha hzo nyumba??😛😛😛😛 exxon alikua hataki win win situation sisi ufisadi hatutaki ukhakha dangote alikimbia kenya akaja tanzania kwasababu ya corruption😀😀😀 ameweka investment tanzania of more than 800m usd na sasa anajenga kiwanda kingine cha chokaa dodoma baby😛😛😛 umeme baby take 1750+ 240 kinyerezi two inakuja how much????Viwanda gani kama si vyerehani na kukamulia juisi ama hata kusukia nywele ni viwanda? Exxon amepotelea Msumbiji Dangote pia amekimbia Tanzagiza bila kusahau umeme wa 1300MW hata hautoshelezi kijiji cha Dar, Nyumba zenu ndefu hazina wapangaji sababu hela Watu hawana, FDI ya Kenya inaongoza Ukanda huu bila kusahau nyinyi ni LDC.
Viwanda gani kama si vyerehani na kukamulia juisi ama hata kusukia nywele ni viwanda? Exxon amepotelea Msumbiji Dangote pia amekimbia Tanzagiza bila kusahau umeme wa 1300MW hata hautoshelezi kijiji cha Dar, Nyumba zenu ndefu hazina wapangaji sababu hela Watu hawana, FDI ya Kenya inaongoza Ukanda huu bila kusahau nyinyi ni LDC.


umeandika kwa uchungu na hasira.
ndaga fijo......wakenya ni wapumbavu sanadogo punguza nchecheto nilihenya sana miaka hiyo acha nile jasho langu..
wanyakyusa wana msemo wao wanasema "life begins at 40" kwa hiyo na wewe usizubae tafuta hela,wekeza ili usije kuishi kwa shida katika utu uzima wako..
Tunapowaambia kwamba Dar inakimbizana na Mombasa wanatokwa na povu kwa kuirudia Oyster bay ambayo ipo kwenye a 2km squared piece of land. In 10 years time Mombasa will have dwarfed Dar by eons.TUKO NA MOMBASA YETU
View attachment 798388
hahahha😀😀😀😀😀 yani anauchungu kwelikweliumeandika kwa uchungu na hasira.
lakini hatuna kazi nawewe,kale githeli.
nimejaribu kutathmin lakin sijapata jibu mpaka sasa hvi hawa watu wanamaisha magumu sijapata kuyaona maishaniyaani ni kama mtu katoka navyo huko hivyo vibanda katika kiroba kafika tu hapo kavimwaga..!!
ukhe ukhe mpaka udenda unakutoka 😀😀😀Tunapowaambia kwamba Dar inakimbizana na Mombasa wanatokwa na povu kwa kuirudia Oyster bay ambayo ipo kwenye a 2km squared piece of land. In 10 years time Mombasa will have dwarfed Dar by eons.
umepotea chief cookerTunapowaambia kwamba Dar inakimbizana na Mombasa wanatokwa na povu kwa kuirudia Oyster bay ambayo ipo kwenye a 2km squared piece of land. In 10 years time Mombasa will have dwarfed Dar by eons.

O'bay alone Ni kiwango cha kimataifa sio sehemu ya kulinganisha na zile estate zenu apo KarenTunapowaambia kwamba Dar inakimbizana na Mombasa wanatokwa na povu kwa kuirudia Oyster bay ambayo ipo kwenye a 2km squared piece of land. In 10 years time Mombasa will have dwarfed Dar by eons.