Leo Ichoboy ajaomba link😀😀😀😀
Dar is Sluum kweli and BTW hiyo Picha nimeitafuta for long bila mafanikio for they never show the settlements only the one street BRT.
Salaaala WTF!!! Hi ni nini? Njia iko kombo kombo....uchafu aisee
Dar sio mji wa kitalii acheni kulishana ujinga, Dar Ni mji wa biashara...penye biashara na utalii unakuwepo lakin ni biashara zaidi...Njooni Dar sio mnaongelea tu kwenye keyboard zenu mnadhan mji ni Nbo pekee mnajidanganyaNairobi ni jiji la biashara.ndo maana kila kitu ni fasta-fasta...dar ni mji ya kurelax
Kelele zisizonamaanaKabisa... Alafu hizi dwanzi zina Compare Nairobi na Dar... a fishing village with a Business hub
duh! manzese...kumbe brt imefika kuleManzese iyo![]()
Morogoro road inapita manzese manduh! manzese...kumbe brt imefika kule
2.7% unemployment in tanzania umeshtuka sana2% unemployment😀😀😀
2.7% in 2017 na uhakika 2018 itashuka sana kwasababu viwanda vingi vipya vimefunguliwa😀😀😀😀Leo Ichoboy ajaomba link😀😀😀😀
I guese these are houses for 98% employed. Ichoboy ebu tuonyeshe za 2% unemployed😀
ukwakwakwa😀😀😀😀Dar is Sluum kweli and BTW hiyo Picha nimeitafuta for long bila mafanikio for they never show the settlements only the one street BRT.
swafiMorogoro road inapita manzese man
Man, this picture is very scary... could that road be going to hell????
wtf is thisViwanda gani kama si vyerehani na kukamulia juisi ama hata kusukia nywele ni viwanda? Exxon amepotelea Msumbiji Dangote pia amekimbia Tanzagiza bila kusahau umeme wa 1300MW hata hautoshelezi kijiji cha Dar, Nyumba zenu ndefu hazina wapangaji sababu hela Watu hawana, FDI ya Kenya inaongoza Ukanda huu bila kusahau nyinyi ni LDC.2.7% in 2017 na uhakika 2018 itashuka sana kwasababu viwanda vingi vipya vimefunguliwa😀😀😀😀
hakuna nyumba ya bati kama hzi nyumba zote ni block houses
View attachment 798368
dogo punguza nchecheto nilihenya sana miaka hiyo acha nile jasho langu..nenda kijijini ukalime. wacha vijana wavunje mifupa. wazee kama wewe mjini ni sumbua tu