mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Not reliable source na aliye andika hajulikani!Slum tours in Dar es Salaam Tanzania
Dar es Salaam Tanzania has one of the third largest slum growth rates in the ... that, 92% of the people living in Tanzania's urban centres are actually slum ...
sio mimi nimesema imeandikwa hapo juu na sio Mkenya ameandika
Origi ambaye akona full Kenyan parents alishacheza world cup 2014 uliona tukitapa, punguza ushamba hizi vitu tulishazoea. Kenyan Referee atakua world cup na hatuongei.
aliyeandika hiyo ni mkenya mwenzao tena wajamii forum......ili wajifurahisheNot reliable source na aliye andika hajulikani!
Leta reliable source lama UN, ILO, BBC, FT, Journeys au The Times, New Africa au Newsweek. Siyo unaokota upuuzi unaleta hapa konokono wewe!
Iza. Ref amejitoa. Stasema reason juu watanzagiza watachemkaOrigi ambaye akona full Kenyan parents alishacheza world cup 2014 uliona tukitapa, punguza ushamba hizi vitu tulishazoea. Kenyan Referee atakua world cup na hatuongei.
Haha hiki kiswahili kimevunjika sana..Origi ambaye akona full Kenyan parents alishacheza world cup 2014 uliona tukitapa, punguza ushamba hizi vitu tulishazoea. Kenyan Referee atakua world cup na hatuongei.
Napenda A town sana pamoja na kigali
uhahaha hasira imekushika enhh na tz sio ile ya 90s😀😀😀😀😀😀kweli bado mko in the 90s wakati dunia inalenga 2030...jikajamueni angalau muingie year 1999 muondoke LDC alafu unitag.
Ukaskia waganda na warwanda wakiongea wao ndio usisemeHaha hiki kiswahili kimevunjika sana..
Jifunze
Hao Ni kama hawajui kabisa wala sitawashangaa..ila ninyi mko hapa kila uchao lazima muoneshe bidiiUkaskia waganda na warwanda wakiongea wao ndio usiseme
Mimi tangu nijiunge na jamii forum kiswahili changu kinazidi kuboreka asante kwa jamii forumHao Ni kama hawajui kabisa wala sitawashangaa..ila ninyi mko hapa kila uchao lazima muoneshe bidii
Safi umekua mkweli. ..Mimi tangu nijiunge na jamii forum kiswahili changu kinazidi kuboreka asante kwa jamii forum
Nijifunze inisaidie na nini, sio ety itaniongezea pesa kwa maisha.Haha hiki kiswahili kimevunjika sana..
Jifunze
Kila ulichojifunza ingekua kinakupa pesa ungekuanazo nyingi sana..Nijifunze inisaidie na nini, sio ety itaniongezea pesa kwa maisha.
Important priorities first. No one around me has ever complained about my communications skills, so me niko sawa.Kila ulichojifunza ingekua kinakupa pesa ungekuanazo nyingi sana..
kama uko na doo ya kutosha vuka boda kuja A-Town kwa vacation ule bata...i can offer to be your host for one week.Napenda A town sana pamoja na kigali