Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

acha hasira basi yani lexus inakuumiza hvo 😀😀
Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.
 
hiii pia university😀😀😀😀😀
ila wakenya munapenda jokes sana
View attachment 793038
Siku Tz Inafikia Kenya kwa Universities nitag[emoji23] [emoji23] View attachment 793615
07-524x350.jpg
 
sisi kwetu ni kufanya tour europe na USA.
mashinani tumeachia wakenya.

hapa kazi tu. from tanzania to the world.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 792607
Sijapendezwa na hayo magwanda aliyojitwika. Hawezi afford nguo nzuri?
 
Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.
Sawa Ichoboy. Nadhani wewe ni mwarabu fulani anayekula pesa ya baba yake. Usitegemee mali ya wazazi kijana. 😀😀. Hata hivyo hongera, sikujua apple watch ina washikaji Tanzania.
haki nyinyi watu ni wajinga sijapata kuona. ichoboy anacheza na akili yenyu nanyi bila kujua mnajadili kile anachotaka yeye. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
leo ni wakora wa kariobangi vs simba sc ya tanzania. tusubiri matokeo kuanzia mida ya saa kumi jioni. acheni porojo.
Tuingie Sportpesa Tubet tuone nani atatoka akilia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa. Usianze excuses ati ni team B
mimi ni shabiki kindakindaki wa simba sc, siishabikii simba kwa sababu ya uzalendo wa kitanzania bali naishabikia kwasababu ndio ndimu ninayoipenda tangu ningali mdogo.

so matokeo yoyote kuhusu simba ya kufungwa au kufunga, nitayapokea kwa mikono miwili.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20180604_084909.jpg
 
mimi ni shabiki kindakindaki wa simba sc, siishabikii simba kwa sababu ya uzalendo wa kitanzania bali naishabikia kwasababu ndio ndimu ninayoipenda tangu ningali mdogo.

so matokeo yoyote kuhusu simba ya kufungwa au kufunga, nitayapokea kwa mikono miwili.
Poa. Napenda unavyozungumza kama fan halisi... Tungoje matokeo
 
picha ya nini mtoto wa tandale?
livin' tandale is better than to live in fucking korogocho area,that korogocho area is a right place for pigs.!no Tanzanian can even walk throughout those streets..
 
Back
Top Bottom