Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mpaka renders unaweka humu😀😀😀😀
Hahaha aty Renders?? Hii imeisha bakia stands pekee..
Hii kenya sio Ligi yenyu bana
Screenshot_20180530-145512.jpg
Screenshot_20180530-145522.jpg
Screenshot_20180530-145505.jpg
 
My small boy Choobox.... Hiki kijiji chenu kilichapwa hadi na Eldoret.... You are only maximizing on bicycles which don't break kisumu at all...... It goes to show how low your IQ is...... Tihahahhaaaaa....
Hio inaitwa Going for desperate measures during desperate times Kama yeye ni mwanaume akuje Kisumu vs Mwanza ndio ajue vile wako chini
 
Walihepa iyo thread wote
kwasababu kisumu sio city its just a town heheh eti city taxi ni baiskeli dah nimecheka sana😀😀😀
katika moji nilowah kutembea duniani sijapata kuona taxi ni baiskeli eti city
 
Achanga umavi. Awendo si county. Migori, Kisii, Nakuru na hizo zote sijaona baiskeli. Piki piki ndo ziko. Kisumu ni pikipiki nowadays... Unarudi stone age na watu wameevolve
Huyu kijana wa tandale anajifanya sana anajua masuala ya kenya. Ni juzi tu amesema kwamba mtu anapitia Embu akienda Nairobi kutoka Juja
 
sisi kwetu ni kufanya tour europe na USA.
mashinani tumeachia wakenya.

hapa kazi tu. from tanzania to the world.

IMG_20180602_213106.jpg
 
Back
Top Bottom