andaeni hasira za kutosha kuhusu azam.
huko kwenyu bakhresa anakuja kuwekeza katika biashara ya marine katika mji wa mombasa.
mipango ipo tayari so mda wowote boti za kisasa za kampuni ya azam marine zitaanza kuchukua abiria from mombasa, tanga, zanzibar, dar es salaam and vice-versa.
serikali yenyu ilishatuma maafisa wake tanzania kuja kuzungumza na kuchukua ushauri toka kwa tajiri said salim bakhresa ambaye ndiye owner wa makampuni yote ya azam.
viva tanzania.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 792880View attachment 792881View attachment 792882View attachment 792883