Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siunaona sasa ujinga uliokua nao sasa kama unashinda uwanjani alf huna mafanikio ya team kimaendeleo kuna faida gani hapo ikiwa hata ofisi hakuna uwanja wa mchezo hakuna gari ndio hilo bovu la tuzo😀😀 alaf jnasema maendeleo ni uwanjani sijui kama unajua maana halisi ya development

team za tanzania ziko kibishara na zinatengeneza revenue kubwa sana na zinajiendeleza kimaendeleo sasa hvi yanga na simba wote wameshaanza ujenzi wa viwanja vyao vya mpira
Your argument is so shallow, as it has always been. Nini maana ya team kushiriki michezo? Je ni kucharazwa mabao kila kuchao?
 
Your argument is so shallow, as it has always been. Nini maana ya team kushiriki michezo? Je ni kucharazwa mabao kila kuchao?
tunapoongelea developments of a team ni kama hvi
huu ni uwanja wa azam fc una kila kitu ndani kuna teaching room, conference room, swiming pool, modern gym, medical departments, hostel za wachezaji, studio room, cafeteria etc

azam fc pekee ina bus zisizopungua 6 na zote ni expensive buses na kumbuka anafanya biashara anafanya matangazo so anatengeneza pesa
E201F649-82E5-40D8-8796-C4B29B2698F9.jpeg
B2CD5682-C460-405D-9A58-41A338502D22.jpeg
C006ED03-D92B-475C-BC9B-1565E07A0D6B.jpeg
E91068DD-3C9E-4BFD-96A2-251EC1EF8AF9.png
14B5F789-B0A7-4FDF-940A-F219FEFC87D4.jpeg
AD6C6C76-06C1-42D9-8910-28BA060DD3CF.jpeg
270DFFBA-4844-4721-9965-7B00F4834CE6.jpeg
 
Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira 😀
hatuizingatii huo ushindani wa sportpesa hakuna oesa za kutosha hivyo tumekuja tu kushow love
 
Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira 😀
isitoshe hao ni team B wenyewe wapo huku hata leo wamecheza mechi......ndiyo maana hauoni tukilalama kuhusu mashindano yaliyopo huko......

tume mute tu
 
siunaona sasa ujinga uliokua nao sasa kama unashinda uwanjani alf huna mafanikio ya team kimaendeleo kuna faida gani hapo ikiwa hata ofisi hakuna uwanja wa mchezo hakuna gari ndio hilo bovu la tuzo😀😀 alaf jnasema maendeleo ni uwanjani sijui kama unajua maana halisi ya development

team za tanzania ziko kibishara na zinatengeneza revenue kubwa sana na zinajiendeleza kimaendeleo sasa hvi yanga na simba wote wameshaanza ujenzi wa viwanja vyao vya mpira
hawajui hao.......laiti sportpesa wangeweka fungu lakutosha........wangeona mziki
 
Your argument is so shallow, as it has always been. Nini maana ya team kushiriki michezo? Je ni kucharazwa mabao kila kuchao?
hakuna pesa huko,,,,,,,ndiyo maana tumewatupia team B.....waexperience....
 
tunapoongelea developments of a team ni kama hvi
huu ni uwanja wa azam fc una kila kitu ndani kuna teaching room, conference room, swiming pool, modern gym, medical departments, hostel za wachezaji, studio room, cafeteria etc

azam fc pekee ina bus zisizopungua 6 na zote ni expensive buses na kumbuka anafanya biashara anafanya matangazo so anatengeneza pesa
View attachment 793448 View attachment 793449 View attachment 793450 View attachment 793452 View attachment 793453 View attachment 793454 View attachment 793455
Swali langu ni rahisi sana: hizo vitu zote umetaja zimesaudiaje hizo vilabu zenu kunawiri? mbona unashindwa kujibu swali rahisi?
 
ni mafanikio ya team tuoneshe za kwenu basi
tena team za tanzania zinatengeneza pesa na ziko kibiashara zaidi 😀😀😀😀
View attachment 793319
View attachment 793320

sasa tuoneshe mafanikio ya team ya gor mahia angalau tuone ofisi yao heheheh 😛😛😛😛
Hizo basi hazikusaidia yanga kuwin kwani na vile u brag about them but kakamega team inachapa yanga 3 goals
 
Lol Yanga tutatwanga caf pia.....watajua hawajui.Tanzanians are generally poor in every sport ...sisemi kwa ubaya.That's as it is.............
 
Dar-es-Salaam, Tanzania
Container vessel leaving the port of Dar es Saalam, Tanzania
Departing maneuver from the port of Dar es Salaam, Tanzania - Time lapse movie

Source: travelling on a container vessels
 
Huu mlima ni shamba letu la bibi yani tunamla hadi tigo mpende msipende. Povu ruksaaa
porojo hiyo and you know quite well it's porojo.

zama za tanzania kuwa shamba lenyu la bibi zilishapita kitambo. sio utawala huu wa sasa.

rejea issue ya tanzanite,rejea issue ya idadi ya watalii.... chezea JPM nyinyi.viva tanzania.
 
Hii Yanga ndo ile timu iko na ifisi kubwa kushinda ya Gor ama hii ni ingine? Hahaha....si wangeingiza ile ofisi wabongo wanatuonyesha hapa iwafungie mabao. Juzi waltwangwa na MC Algiers sasa KK Homeboyz
Kazi yao ni Ofisi sio kiwanja... Endeleeni Kujenga ma Ofisi sisi TUKIBEBA vikombe
 
Back
Top Bottom