Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #96,881
Bakhresa hashindwi kitu anaweza kujenga kiwanja matata kwa ajili ya racing. Jamaa aliagiza mabasi zaidi ya 1000 wafanyabshara wa mabasi wakaiomba Serikali jamaa asifanye biashar hiyo. Serikali ikamuomba naye akakubali.
Mkoa kwa mkoa Racing
Mkoa kwa mkoa Racing


