Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP imejaa mapishi yalioungua😀😀😀
wanakuja investors wanashika uchumi wanapeleka pesa kwao munabaki na unemployment over 40% na huku below povert line ikiwatafuta to almost 46%, ukija kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe,

alaf mashamba yote wameshika wazungu wanapanda maua munabaki kila siku watu wa kusaidiwa chakula
huku kenyatta kajimilikisha ardhi robo ya kenya
View attachment 792754
We shienzy.. Magufuli alikudanganya wazungu wagani hao wanapenda maua kenya.. Leo nataka Nikushike pabaya.. LETA evidence acha Udaku hapa
 
Alafu Unaskia Ngombe Ingine Unataka kulinganisha Lupita na Diamond.. Nkt!
safaricom hio haikumuona lupita😀😀😀
F85980AF-0FBB-43FA-8678-C4A51366229F.jpeg
 
si huyo mchina aliwapiga kwenye SGR pia ni ujamaa kawatandika kisawasawa kuwaletea treni ya 50s mlichoambulia ni stations heheh 4b usd nai to msa😀😀😀😀😀😀 watu wanakwenda mbele nyie ndio kwanza munarudi 40yrs back
Yenyu Iko wapi? Na usilete Renders Hapa...
 
We Kwani Tz Hamna channel huko? Watch Azam acha Kufuatilia petty news za kenya nikama huko kwenyu Ni Binguni hakuna shida... Ni vile wakenya hatuna time ya kufwatilia hizi ujinga bure Ungetoroka huku
uahhah kisa naleta yale msioyapenda😀😀😀
si hauna time kazi yenyewe huna hio time ya kutafuta utapata ikiwa chakula tabu 😛😛😛
 
We Kwani Tz Hamna channel huko? Watch Azam acha Kufuatilia petty news za kenya nikama huko kwenyu Ni Binguni hakuna shida... Ni vile wakenya hatuna time ya kufwatilia hizi ujinga bure Ungetoroka huku
they all watch kenyan news and channels...hata mimi nilikuwa nashangaa sana nilipo join Jamiiforums nikapata humu wanatazama citizen, NTV etc..who in kenya knows even one channel in tz????lol!
 
Back
Top Bottom