baada ya kubaini kua tz unemployment rate is 2.7%
hali ya lewis254 ikawa hvi😀😀😀😛
View attachment 792730






.....and another one (in dj khalid's voice).

tz ya 2018s so ile ya 2000s.
kama vile yakwenu mlivopika mpaka ikaungua 😀😀😀munadanganya wazungu huku unempoyment rate pamoja na below poverty line inakula maini yenu😛😛







Mnasifusifu Diamond Hapa nikama ni Chris brown
povu... hasira.Tanzania wanapenda Kushangilia Vitu ndogondogo za Ufala yenye sijui wangekuwa Kenya ni yao Wangesema nini![]()
![]()
![]()
![]()
Stori Kama za Obama, Lupita, GDP, Sports za Kenya INGEKUWA ni zao na sisi ni WaTzedii Sijui tungepeleka Masikio wapi walai
![]()
![]()

kwani unafikiri king'amuzi cha azam hawana, wanacho majumbani kwao na wanafatilia kimya kimya kila kinachoendelea tanzania.Wakenya acheni wivu. Nunueni kinhg'amuzi cha Azam mpate kuona Racing Show kali toka EAST AFRICA














kwani unafikiri king'amuzi cha azam hawana, wanacho majumbani kwao na wanafatilia kimya kimya kila kinachoendelea tanzania.
ila hapa jf hawawezi ku admit, lazima watakwambia hawana time na azam tv wala hawafatilii affairs za tanzania.
twitter ndio kuna wakenya wengi genuine wasioona haya kukubari ukweli pale wanapizidiwa na tanzania.
sio hawa vilaza wachache wa jf na wapiga porojo.
about last year during cecafa tournaments.
View attachment 792871View attachment 792872View attachment 792873View attachment 792874
makaburu wa dstv hawana hamu na bakhresa. amewanyorosha kisawasawa mpaka wameshusha bei ya packages zao.Yaani kusema ukeli AZAM wanakuja kwa kasi sana. Nadhani DSTV wamepata mpinzani wa kweli hapa EA.

we can't stop...we won't stop. we still crossing borders. viva tanzania.Azam Sport Car Racing in Zambia. Tunasogea hatua moja baada ya nyingine

Walikuwa wanalinga sana. Yaani kwa sasa unalipia mpaka shi 19,000 DSTV kwa mwezi.makaburu wa dstv hawana hamu na bakhresa. amewanyorosha kisawasawa mpaka wameshusha bei ya packages zao.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Walikuwa wanalinga sana. Yaani kwa sasa unalipia mpaka shi 19,000 DSTV kwa mwezi.
Kawapiga za mbavu. Nadhani kwa sasa more than 50% ya watumiaji wa TV Tanzania wanatumia Azam maana kuna channel matata za kibongo. Tukianzia kwenye Sport, Entertainment, News (Kuna mdada matata Ivvona kamuntu)










Yaani kila kona tunawakamata tu. Kwenye utalii tumewapiga bao, Entertainment ndiyo usiseme.