Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani leo anashangaa kuskia tanzania unemployment rate 2.7% heheheh😀😀😀😀😀

ukiwaambia uchumi umeshikwa na wazungu kenya na mashamba yote yameshikwa na wazungu wanakasirika
huo nfiyo ukweli........wanapinga tu basi.....

wananchi wakenya hawana uchumi uchumi umeshikiliwa nawachache
 
Hii ngombe nikama haijawaii skia zip lining [emoji23] [emoji23] so nano ndio mshamba hapa
sawa mbuzi hiyo sijawahi isikia na sihitaki kuisikia endeleeni kuslide juu ya kamba huku mkiwa hamna ajira......kama wananchi wakenya hiyo kitu ndiyo mwaihitaji .....clap clap kwenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
go on dreaming leo umeshtuka sana kuskia unemployment rate ni 2.7% heheh😀😀😀😀

wakat kwenu 40%😛😛😛😛😛
je hapo wavivu wapo nchi gani.......

nadhani jibu linajulikana au vipi my blood ichoboy TZ BLOOD[emoji2] [emoji2]
 
go on dreaming leo umeshtuka sana kuskia unemployment rate ni 2.7% heheh😀😀😀😀

wakat kwenu 40%😛😛😛😛😛
jichoboy = kelele za chura
SC20180329-142110-1.jpg
 
sisi kwetu ni kufanya tour europe na USA.
mashinani tumeachia wakenya.

hapa kazi tu. from tanzania to the world.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 792607
Wazungu WANAENDA Kuona Diamond Kama Baboon huko ikiimba Lugha Haieleweki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu kijana wa tandale anajifanya sana anajua masuala ya kenya. Ni juzi tu amesema kwamba mtu anapitia Embu akienda Nairobi kutoka Juja
Huyu Hajielewangi... Haujui Kenya anaskianga tu Mastori
 
sisi kwetu ni kufanya tour europe na USA.
mashinani tumeachia wakenya.

hapa kazi tu. from tanzania to the world.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 792607
DIAMOND Akiimba He Hukuwaona za.... MBAGALAAAAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1527973161563.jpeg
 
Back
Top Bottom