Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dua la kuku halinpati mwewe hua wivu wa kike sasa😀😀😀😀😀😀😀
Mnasifusifu Diamond Hapa nikama ni Chris brown na Kumbe ni Booshman kutoka KIGOMA.. Na Huyu Dem yake MBAGALAAAAAAAAA!!
untitledss-4.jpg
hawa.jpg
untitleda.jpg
images-7.jpg
tapatalk_1527973161563.jpeg
 
kama vile yakwenu mlivopika mpaka ikaungua 😀😀😀munadanganya wazungu huku unempoyment rate pamoja na below poverty line inakula maini yenu😛😛
Sasa GDP ilipikwa aje na statistics hazifanywi na wakenya.. Tuma Akili buda... GDP ya kenya ni ya ma hustler... Who work hard sio wazembe Kama Tz kupiga Udaku na kuabudu Magufuli akiwaibia Kama wajinga... Kwanza You People are just about to get surprised how kenyas GDP is about To Boom... Naona by next year growth rate ikifika 6.5 alafu by 2020 itakuwa kitu 9.0
 
GDP imejaa mapishi yalioungua😀😀😀
wanakuja investors wanashika uchumi wanapeleka pesa kwao munabaki na unemployment over 40% na huku below povert line ikiwatafuta to almost 46%, ukija kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe,

alaf mashamba yote wameshika wazungu wanapanda maua munabaki kila siku watu wa kusaidiwa chakula
huku kenyatta kajimilikisha ardhi robo ya kenya
D52F53F3-3DB7-4E05-8F8A-2D3C377A6371.jpeg
 
Tanzania wanapenda Kushangilia Vitu ndogondogo za Ufala yenye sijui wangekuwa Kenya ni yao Wangesema nini Stori Kama za Obama, Lupita, GDP, Sports za Kenya INGEKUWA ni zao na sisi ni WaTzedii Sijui tungepeleka Masikio wapi walai
lupita ni mbuzi gani??😀😀😀, GDP imepikwa mpaka imeungua na harufu inatoa
 
Sasa GDP ilipikwa aje na statistics hazifanywi na wakenya.. Tuma Akili buda... GDP ya kenya ni ya ma hustler... Who work hard sio wazembe Kama Tz kupiga Udaku na kuabudu Magufuli akiwaibia Kama wajinga... Kwanza You People are just about to get surprised how kenyas GDP is about To Boom... Naona by next year growth rate ikifika 6.5 alafu by 2020 itakuwa kitu 9.0
😀 wanajikokota kama gunia kule darisalam..wavivu sana hawa jamaa
 
GDP imejaa mapishi yalioungua😀😀😀
wanakuja investors wanashika uchumi wanapeleka pesa kwao munabaki na unemployment over 40% na huku below povert line ikiwatafuta to almost 46%, ukija kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe,

alaf mashamba yote wameshika wazungu wanapanda maua munabaki kila siku watu wa kusaidiwa chakula
huku kenyatta kajimilikisha ardhi robo ya kenya
View attachment 792754
Hio inaitwa Ujamaa Propaganda ya Kuji consult Kutoka kwa viongozi wenyu and that's why Mtazidi Kubaki Nyuma... Hii ujamaa Yenyu Haiwezi wasaidia
 
haha sikudhani wewe bro pia unatusi...naona mishipa yamejaa kichwani duh! yaani unkasirika hivi😀😀😀
😀😀😀😀😀 anashindwa kuongelea mambo ya muhimu kama ardhi inayaowaua wakenya anaongelea lupita who is lupita???
 
wacha tabia ya kidem nawewe...umbeya staki...pambana na povu lako😀😀😀😀
 
Hio inaitwa Ujamaa Propaganda ya Kuji consult Kutoka kwa viongozi wenyu and that's why Mtazidi Kubaki Nyuma... Hii ujamaa Yenyu Haiwezi wasaidia
si huyo mchina aliwapiga kwenye SGR pia ni ujamaa kawatandika kisawasawa kuwaletea treni ya 50s mlichoambulia ni stations heheh 4b usd nai to msa😀😀😀😀😀😀 watu wanakwenda mbele nyie ndio kwanza munarudi 40yrs back
 
Back
Top Bottom