Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Nairobi ulikuwa unaishi mtaa gani?mm nimekaa nairobi,kisumu ndio usiseme , mombasa hunidanganyi, migori, homabay, kericho, nakuru,etc hakuna sehemu ww utanidanganya hapo
Nairobi ulikuwa unaishi mtaa gani?mm nimekaa nairobi,kisumu ndio usiseme , mombasa hunidanganyi, migori, homabay, kericho, nakuru,etc hakuna sehemu ww utanidanganya hapo
Nugu. Is that a question?go ask ur sister/nyakoo anaijua vzr
hehheeh wewe nairobi huijui😀😀😀What shows it's kayole? Nishakuambia kayole huwezi afford kulipa rent hata ya bedsitter, wacha hata one bedroom
watanzania njooni muone vile mkenya kapandisha mori anataka kuuwa simba😀😀😀😀😀
maeneo ya juja, mombasa nimekaa maeneo ya tuskys bandari,chuda etcNairobi ulikuwa unaishi mtaa gani?
kayole hii unakataa bure tuWhat shows it's kayole? Nishakuambia kayole huwezi afford kulipa rent hata ya bedsitter, wacha hata one bedroom
Kutoka Juja kwenda town unatumia matatu namba ngapi na zinatumia njia gani kuelekea mjini?maeneo ya juja, mombasa nimekaa maeneo ya tuskys bandari,chuda etc
Wewe ni kilaza sana....sasa kutuwekea screenshot ya desktop ndo kumaanisha nini? Nimekwambia huko kayole huwezi afford kulipa hata rent ya bedsitter. Endelea kujipa moyo na kuiita slum
watanzania njooni muone vile mkenya kapandisha mori anataka kuuwa simba😀😀😀😀😀
mchezo huu hautaki hasira😛😛😛😛
Hiyo pengine ni gongolamboto unakoishi....naona mshikaji katoa vyombo nje anaoshakayole hii unakataa bure tu
![]()
HII NI KIBERA, HAINA UBISHIHiyo pengine ni gongolamboto unakoishi....naona mshikaji katoa vyombo nje anaosha
nikuletee ushahidi ???😀😀😀😀😀Hiyo pengine ni gongolamboto unakoishi....naona mshikaji katoa vyombo nje anaosha
ACHANA NAYE HUYO, ANAIFAHAMU GONGO LA MBOTO!nikuletee ushahidi ???😀😀😀😀😀
Mwenzako kasema kayole wewe unasema kibera....uneni mlivyoHII NI KIBERA, HAINA UBISHI
Nimekuuluza ukitoka juja kwenda town unatumia matatu namba ngapi na zinapitia njia gani. Mbona kimya?nikuletee ushahidi ???😀😀😀😀😀
KIBERA, SLUM MBAYA KULIKO KATIKA BARA LA AFRIKA NA DUNIA, KIBERA NI NDIYO MFANO HALISI WA SLUM ZA KENYA!Mwenzako kasema kayole wewe unasema kibera....uneni mlivyo
emeona mambo ya chini ya estate chakavu wanazotamba nazo kwa aerial view siuchafu huu jamanianataka awe anaekewa kila siku alaf hajui watanzania wanaishi kwenye nyumba zao wenyewe sio estate za kukodi heheh😀😀😀😀