Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If somebody doesn't understand lexus IS and Toyota Altezza is the same came then he definitely doesn't own the car.
😀😀😀😀😀 kuna lexus ya mwingereza na kuna lexus ya mjapan lemyy teach u sasa

iko IS 200 au IS 300 ya mwingereza na iko ya mjapan
😛😛😛😛😛

gari yenyewe huna alaf bado unajitia ujuaji kila sector wewe mjuaji 😀😀😀😀
 
inaonekana kenya gari ni very expensive product kumilikiwa na kijana.

ndio maana wakenya wengi wana
mu-attack ichoboy kwa ku-post gari lake.
it is like they don't believe if that car belongs to him. smh

Tunashangaa jinsi Tanzania kuwa na gari ni kitu ya maana hadi mtu ana Lexus ya 1998 lakini anakuja kujigamba nayo humu. Kenya hilo sio gari la kujigamba nalo. Furthermore people who own cars never feel the need of flossing it. Hehehe
 
uhehehheeh😀😀😀😀 yani leo nimecheka sana plz naomba uendelee kutoa povu😛😛
Hapana cheza na Nyang'au kama hujui uliza mulisaaa( you can see he is MIA of late). Ukifikisha muindi nitag...
If somebody doesn't understand lexus IS and Toyota Altezza is the same came then he definitely doesn't own the car.
Njia ya muongo ni fupi.
Hahahaha............Yani mdosi wake ni maskini. Sasa yeye mwenyewe tutamuitaje?.😀😀😀😀😀
Tumuite chauffeur
 
😀😀😀😀😀 kuna lexus ya mwingereza na kuna lexus ya mjapan lemyy teach u sasa

iko IS 200 au IS 300 ya mwingereza na iko ya mjapan
😛😛😛😛😛

gari yenyewe huna alaf bado unajitia ujuaji kila sector wewe mjuaji 😀😀😀😀

You're an idiot - Lexus is a Japanese car and IS300 (2014) is simply the successor to IS200 (1998). Uliza huyo muhindi haya mambo na umwambia aupgrade. IS200 is too old bwana. Hakuna Lexus ya mwingereza.
 
simunamuona huyu mpuuzi sasa😀😀😀😀
anabishana na mm wakat mm ndio mwenye gari namwambia yangu mm ni lexus ya mwingereza

ama kweli ww ni kilaza sijapa kuona😛😛😛

lexus from uk handcater yake iko kushoto
99D0A1EE-631C-45DF-826A-702D72C784FF.jpeg

and lexus from japan hand cater yake iko kulia hehehe ukijitia ujuaji wa kila kitu utaaibika😛😛
 
Tunashangaa jinsi Tanzania kuwa na gari ni kitu ya maana hadi mtu ana Lexus ya 1998 lakini anakuja kujigamba nayo humu. Kenya hilo sio gari la kujigamba nalo. Furthermore people who own cars never feel the need of flossing it. Hehehe
yako wewe iko wapi piga picha gari ya neighbour utume hapa sasa😀😀😀😀😀
 
badala mtu aringe na kampuni yake ama 5 storey apartment anaringa a cheap car....smh.Tanzanians shida yenu ni kuwa small minded sana.....that's why daresalaam is very poor and under developed
 
yako wewe iko wapi piga picha gari ya neighbour utume hapa sasa😀😀😀😀😀
I am not childish like you but one thing you can be sure of, I drive a better and way newer one. Hint - It's a major competitor of Lexus GS.
 
Fungulieni Ichoboy thread yake apeleke uchafu huko..

Notes never make noice only coins... Tafakari hayo
 
Tunashangaa jinsi Tanzania kuwa na gari ni kitu ya maana hadi mtu ana Lexus ya 1998 lakini anakuja kujigamba nayo humu. Kenya hilo sio gari la kujigamba nalo. Furthermore people who own cars never feel the need of flossing it. Hehehe
Mwambie Jay Leno hayo maneno uone atakavyo kushangaa.
 
Back
Top Bottom