Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya sasa chukua karai ya kuoshea gari la Muhindi kabla umwage unga! 😀
another macbook pro 2007 i have it since niko chuo😀😀😀😀😀😀😀😀
4E66B6C0-1B11-484F-9370-B1B31EF99380.jpeg
B7FB876A-5227-41DF-9962-989B8C4ED126.jpeg
 
ohhhh my GOD my ribss duhh jamaa ana hasira sana kwa kweli😀😀😀😀
hao ndiyo wenye uchumi wakati aisee........asilimia kubwa ya wakenya walio humu wanao attack dar nimaskini sana.......yaani ni type ya wale wakenya wasiowahi kutembea nakutoka nnje ya kenya .....

hivyo hawana wanalolijua
 
hawa hawana kitu yani wanamaisha ya ajabu seriously and the dont have any future zaidi ya kutafuta pesa ya kulipia bedsitter pale umoja basi😀😀
 
hawa hawana kitu yani wanamaisha ya ajabu seriously and the dont have any future zaidi ya kutafuta pesa ya kulipia bedsitter pale umoja basi😀😀
kisingizio chao eti wanajenga ushago............
hapo ndipo wanajidhihirisha kuwa ni maskini wakutupwa
 
hawa hawana kitu yani wanamaisha ya ajabu seriously and the dont have any future zaidi ya kutafuta pesa ya kulipia bedsitter pale umoja basi😀😀
kitu pekee wanachojivunia ni kuzungumza kingereza.

kuzungumza kingereza huku unalala bedsitter na huna uwezo wa kujenga nyumba yako au kununua gari ni ukilaza wa hali ya juu
 
umeliamsha dude la wivu wa kikenya.....mda si mrefu wataanza kushambulia personality yako badala ya kujadili mada.

hakika unajuwa sana kucheza na feelings za wakenya.
nawajua hawa bro niko hapa nawasubiria😀😀
 
Back
Top Bottom