Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ive noticed something about tz,in kenya these altezzas were mostly noticed around 2007-2010 but whenever im in tz i still see them same as toyota crown athlete 2007,ive been noticing them in tz alot while kenya we now mostly hav the 2010 model
hio sio altezza wewe hio ni lexus ya mwingerez hehehe
mapovu mpaka mwisho😀😀😀😀😀 munajifanya muko europe kumbe uwozo wa bata😛😛

hzo crown athlete za 2010 zimejaa dar es salaam tena zinapendwa ile mbaya

endeleeni kuendesha probox maana nusu ya magari ya kenya ni probox heheheheh wakat probox dar unaeza kuta hazizidi 10😀😀😀
 
hio sio altezza wewe hio ni lexus ya mwingerez hehehe
mapovu mpaka mwisho😀😀😀😀😀 munajifanya muko europe kumbe uwozo wa bata😛😛

hzo crown athlete za 2010 zimejaa dar es salaam tena zinapendwa ile mbaya

endeleeni kuendesha probox maana nusu ya magari ya kenya ni probox heheheheh wakat probox dar unaeza kuta hazizidi 10😀😀😀
nilishawaambia kuhusu probox.
kwamba tanzania probox ni gari ya hadhi ya chini sana na sio nyingi kihivyo.

kwa hapa dar inaweza ikakuchukua hata siku nzima usikutane na probox barabarani.
 
uhahaha kwan uliambiwa hio nyumba ananunuliwa ndio inathaman kubwa sana dar 😀😀😀😀 mbona hua unakua bogus sana hio ni nyumba ya kawaida sana dar na unaeza kuta iko mbezi beach over 30km from CBD😛😛😛😛
dharau zenu ndizo ziliwafkisha hapa mulipo dont take everything simple tu kariakoo kununua kiwanja tu naongelea kiwanja tu not less than 2b tsh and above
haelewi huyo
 
Sasa nani anaelewa kiswahili abroad.....
kama si Kenyan Diaspora walio wengi especially US sijui wangeperformia nani
wewe ni chizi........kweli ngoja nikufunze kitu

mziki hauna lugha bro kikubwa nikufanya mziki mzuri tu,,,,,na dunia haina lugha moja zipo tofauti hao wanaoijua english mbona wanazisikiliza nyimbo za kimexico na kwenye club zao zinapigwa mara kwa mara....

nakwajinsi ulivyo mpuuzi hata wewe mwenyewe umewahi kuzisikiliza nyimbo za mexican,indian inamaana unazielewa
 
usinikumbushe kuhusu probox...zimejaa sana kenya hizo gari kiasi kwamba wakora na wasafirisha miraa huzitumia katika kazi zao.

hapa dar unaweza uka-drive more than 50 kilometers usikutane na probox but sio kenya...kenya kila baada ya nusu kilomita unapishana na probox ishirini.
ndiyo maana limemkaa mdomoni
 
Back
Top Bottom