Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwezo upo tena mkubwa lakini Shida ni Mnatuchafulia Jiji letu infact sahizi wameokotwa wote Na Wanajiandaa kurudi LDC walipotoka Hii Nairobi sio ya Mamazao
Msijetumia mwanya huu kuleta ndugu zenu huku,maana moja ya ndoto ya mkenya ktk maisha yake ni kuwa na free pass kuja tz,hata kenyata anatamani hiyo.
 
Kibera is a very small area of land and reducing fast Tanzania and Dar in it is a very Big Isle of Poverty that's my point... Yani the reason why Google earth hailocate slums Dar ni ju Dar itself is One big slum
Unadhani Google earth ni kampuni ya kikenya mpaka isitumie akili kiasi hicho!!!!!

Hahaaaa.
 
Yanekana reasoning yangu na yako haziambatani. In Nairobi, most buildings ni apartments. yani magorhofa. You can have let's say ksh10 milion but huwezi pata plot in a decent estate ununue ardhi na ubakishe pesa ya kujenga. So most people buy already built houses in high rise apartments. Buying an apartment make economic sense kwa developers na wanunuzi pia coz the developer atatumia kipande kidogo cha ardhi kupata pesa mingi. It's called maximising returns on investment. Mnunuzi pia atafaidika coz atapata nyumba kwa kiwango cha chini kuliko kama angenunua kipande cha ardhi kisha ajenge. Ardhi sio shilingi mbili Nairobi ndugu yangu. so kwa akili yako ukinunua nyumba Imejengwa already have you built it yourself?
Huku kila mtu anayo access ya kujenga,ndio maana speed ya ukuaji wa huu mji inatisha.

Japo kiauhalisia huwezi nunua vyumba viwili juu ya ghorofa kwa pesa nyingi na ukafurahia,ndio maana wanajipigia bei wanayotaka,kwa wapangaji na wanunuzi.
 
Hii story ta kijenga nyumba Dar ndio chanzo cha hicho kijiji chenu kukosa plan na mvuto...huku kenya, Nairobi ni eleo la kufanya kazi na biashara, watu wamejenga vijijini kwao walipozaliwa. Mimi mwenyewe niko na bongo la nyumba kwetu ila ninapangisha nairobi coz niko huku kikazi. Nikistaafu ama kuwacha kazi narudi kwetu mashambani kuendelea na maisha. Kitu cha pili unafaa kuelewa ni kwamba cost ya land Nairobi sio shilingi mbili kama ilivyo katika hicho kijiji chenu cha Dar. Nairobi kuna sehemu hekari moja ya ardhi Inauzwa hadi ksh700 milion!! sijiu hizo ni trilioni ngapi za bongo. So nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks in your city and calling them dream houses.
acha uongo,unafurahia kuishi hostel???
anyway, ardhi ya Kenya kwa % kubwa inamilikiwa na Uhuru family na fertility land yoote inamilikiwa na makampuni ya wazungu ya maua!!we huwezi kuwa na nyumba labda kibanda cha mabati hapo kayole...
 
Huku kila mtu anayo access ya kujenga,ndio maana speed ya ukuaji wa huu mji inatisha.

Japo kiauhalisia huwezi nunua vyumba viwili juu ya ghorofa kwa pesa nyingi na ukafurahia,ndio maana wanajipigia bei wanayotaka,kwa wapangaji na wanunuzi.
Mko na access ya kujenga coz kipande na ardhi sio ghali Dar jinsi ilivyo Nairobi. Pesa yenye unaweza nunua 1/8 of an acre Nairobi mtu anaweza pata nayo hekari mbili au zaidi Dar. Hii ndio maana mimi husema Dar is not a competitive city like Nairobi, sio eti watu wa Dar wako na uwezo wa kipesa kununua ardhi kuliko watu wa Nairobi.In fact, watu Nairobi wako na mihela kuliko watu wa Dar but considering hadhi ya Nairobi, kila kitu huku ni expensive. Then kitu ingine unafaa kuelewa ni kwamba there are government regulatory agencies ambazo zinaregulate kodi za nyumba. Japo kila mtu ako na uhuru wa kulipsha rent kivyake, kuna viwango fulani ambazo vimewekwa so huwezi lipisha zaidi ya hizo viwango.
 
acha uongo,unafurahia kuishi hostel???
Wewe umeingilia discussion katikati angalia pages za nyuma. Hata hivyo, afadhali niishi kwenye hostel dadala ya kuishi kwenye swahili shack in a disorganized estate kisha nijigambe vile ninamiliki dream house
 
hostel walizojenga wanaume wenzako??angalia kijana...
 
acha uongo,unafurahia kuishi hostel???
anyway, ardhi ya Kenya kwa % kubwa inamilikiwa na Uhuru family na fertility land yoote inamilikiwa na makampuni ya wazungu ya maua!!we huwezi kuwa na nyumba labda kibanda cha mabati hapo kayole...
This is what your government and useless education system has made you believe do ni vigumu sana kuitoa kwa akili yenu. Hata maendeleo ya kenya mnasemanga ilifanywa na wazungu. that's a tylical Tanzanian reasoning. Sorry I won't engage you on that line
 
Mko na access ya kujenga coz kipande na ardhi sio ghali Dar jinsi ilivyo Nairobi. Pesa yenye unaweza nunua 1/8 of an acre Nairobi mtu anaweza pata nayo hekari mbili au zaidi Dar. Hii ndio maana mimi husema Dar is not a competitive city like Nairobi, sio eti watu wa Dar wako na uwezo wa kipesa kununua ardhi kuliko watu wa Nairobi.In fact, watu Nairobi wako na mihela kuliko watu wa Dar but considering hadhi ya Nairobi, kila kitu huku ni expensive. Then kitu ingine unafaa kuelewa ni kwamba there are government regulatory agencies ambazo zinaregulate kodi za nyumba. Japo kila mtu ako na uhuru wa kulipsha rent kivyake, kuna viwango fulani ambazo vimewekwa so huwezi lipisha zaidi ya hizo viwango.
Uwe mkweli ardhi Kenya ni ya watu Fulani,wao hujenga na kupangishia nyinyi masikini.

Wacha kuzunguka zunguka.
 
This is what your government and useless education system has made you believe do ni vigumu sana kuitoa kwa akili yenu. Hata maendeleo ya kenya mnasemanga ilifanywa na wazungu. that's a tylical Tanzanian reasoning. Sorry I won't engage you on that line
Do you think tunasoma chochote kuhusu nyang'au???sahau.
 
elimu yenu ambayo ni useful imewasaidiaje kutoka kwenye msala wa ajira!!
 
Uwe mkweli ardhi Kenya ni ya watu Fulani,wao hujenga na kupangishia nyinyi masikini.

Wacha kuzunguka zunguka.
Yaonekana hata ile nyumba yangu ya ushago pia si yangu, ni mtu alijenga kisha akanipangishia. That's how you are trying to reason. nway, as long as niko na uwezo wa kupangisha au kununua nyumba Nairobi na kujenga yangu binafsi kwetu kijijini, do I really care about how much you rant in here? Wewe najua unaishi kwenye swahili shack with rusty iron sheets hapo mwananyamala na unajiona umefika mwisho
 
And if you don't mbona basi mnashinda mkifatilia story za Kenya as if your life depended on it? mara ngapi mnaletanga screenshots za mews za Kenya kwenye hii forum as if mnalipwa kufanya hivyo? ichoboy knows this very well. Achaneni na story za Kenya mtie bidii kutoa nchi yenu kule ldc
 
Omba Omba WARUDI TANZANIA UNAKIMBILIA Nairobi kutuletea umasikini wenyu huku....mrudi LDC Mlikotoka.... Aty tunakimbilia Nairobi? We have Mombasa, Kisumu, Nakuru na Eldoret Bigger than any other shithole city in Tanzania.... Msituletee hio ujamaa yenyu huku.. View attachment 786747
kama ni watanzania wafukuzeni ,,,mnangoja nini wakati huku tunawafukuza nyie mnangoja nini......

ndiyo maana tunasema kuwa wakenya hamna kitu
 
Mwenzako alisema Nairobi si rahisi kununua plot ujenge that why mumepanga.sio shilingi mbili kama dar.

Sasa nikiangalia idadi ya apartment kuanzia huko Karen mpaka korogocho napata wasiwasi idadi ya wenye nyumba binafsi hata za kununua.
kweli kabisa afafanue
 
And if you don't mbona basi mnashinda mkifatilia story za Kenya as if your life depended on it? mara ngapi mnaletanga screenshots za mews za Kenya kwenye hii forum as if mnalipwa kufanya hivyo? ichoboy knows this very well. Achaneni na story za Kenya mtie bidii kutoa nchi yenu kule ldc
Tanzania ni colony ya kenya ama ujui.. Vitu Zetu ndio wanafuatilia wakidhani wako kenya
 
Back
Top Bottom