Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lszima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazinhira mawili tofauti..... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu umegundua hiko kitu
Omba Omba WARUDI TANZANIA UNAKIMBILIA Nairobi kutuletea umasikini wenyu huku....mrudi LDC Mlikotoka.... Aty tunakimbilia Nairobi? We have Mombasa, Kisumu, Nakuru na Eldoret Bigger than any other shithole city in Tanzania.... Msituletee hio ujamaa yenyu huku..
Screenshot_20180526-165748.jpg
 
Nikishakuambia watu wako na nyumba vijijini kwao mbona tena tena unaniuliza idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Kwani hizo nyumba zilishuka kutoka mbinguni?
Hivi bro unaweza mlingishia mwanaume mwenzio nyumba ya kupanga??
 
kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lazima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazingira mawili tofauti...shida na njaa zimetawala.... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu
Ukisoma historia ya Nairobi vizuri utagundua kwamba ilikuwa eneo la jamii ya maasai. Ila leo ukija nairobi kupata maasai ni ngumu sana, wapo ila ni wachache mno. Ki ufupi ni kwamba, Nairobi has evolved to acvomodate people from all walks of life. In short, hakuna mtu anaweza sema eti kwao ni Nairobi. Etu kwamba babu wa mababu wao waluzaluwa Nairobi. Hilo hakuna; kila mtu ako nairobi kikazi ila wako na sehemu walizaliwa. Kama nyinyi wote mnaotoa hoja hapa ndani mababu wenu walizaliwa Dar, haina mambo ila inaonyesha vile Dar iivyo "local"
 
Omba Omba WARUDI TANZANIA UNAKIMBILIA Nairobi kutuletea umasikini wenyu huku....mrudi LDC Mlikotoka.... Aty tunakimbilia Nairobi? We have Mombasa, Kisumu, Nakuru na Eldoret Bigger than any other shithole city in Tanzania.... Msituletee hio ujamaa yenyu huku.. View attachment 786747
Kumbe uwezo wa kuwapa hamuna mnalialia tu???

Mwenye maisha bora kutoa msaada ni ufahari sio maumivu.
 
Mwenzako alisema Nairobi si rahisi kununua plot ujenge that why mumepanga.sio shilingi mbili kama dar.

Sasa nikiangalia idadi ya apartment kuanzia huko Karen mpaka korogocho napata wasiwasi idadi ya wenye nyumba binafsi hata za kununua.
Do you know the difference between buying plot and buying property?
 
Hivi bro unaweza mlingishia mwanaume mwenzio nyumba ya kupanga??
Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks in Dar in the name of building dream houses. Huku kwetu we own dream houses upcountry. Nairobi ni mahali pa kazi, unaweza toka wakati wowote
 
Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks in Dar in the name of building dream houses. Huku kwetu we own dream houses upcountry. Nairobi ni mahali pa kazi, unaweza toka wakati wowote
And we are really building it.
 
Tafuta mtanzania anayeishi kama nguruwe nami nitakuonyesha mkenya na mahali anapoishi.
Mnazaana Kama panya kuchangia umasikini duniani..
Kibera might be big but not as big as Dar and Tanzania as a hole... Ranked as one of the poorest countries in the world alafu mnakuja kujaza Nairobi na Kuombaomba... Shindwe!! Pepo ya umasikini
Screenshot_20180526-172002.jpg
Screenshot_20180526-171950.jpg
Screenshot_20180526-171812.jpg
Screenshot_20180526-170707.jpg
Screenshot_20180526-171113.jpg
Screenshot_20180526-171411.jpg
Screenshot_20180526-170850.jpg
Screenshot_20180526-165748.jpg
 
Unakana Maelezo yako tena bro!!!!!

Ushinde kununua plot kwa gharama kuwa juu,uje ununue nyumba kamili???
Yanekana reasoning yangu na yako haziambatani. In Nairobi, most buildings ni apartments. yani magorhofa. You can have let's say ksh10 milion but huwezi pata plot in a decent estate ununue ardhi na ubakishe pesa ya kujenga. So most people buy already built houses in high rise apartments. Buying an apartment make economic sense kwa developers na wanunuzi pia coz the developer atatumia kipande kidogo cha ardhi kupata pesa mingi. It's called maximising returns on investment. Mnunuzi pia atafaidika coz atapata nyumba kwa kiwango cha chini kuliko kama angenunua kipande cha ardhi kisha ajenge. Ardhi sio shilingi mbili Nairobi ndugu yangu. so kwa akili yako ukinunua nyumba Imejengwa already have you built it yourself?
 
Mnazaana Kama panya kuchangia umasikini duniani..
Kibera might be big but not as big as Dar and Tanzania as a hole... Ranked as one of the poorest countries in the world alafu mnakuja kujaza Nairobi na Kuombaomba... Shindwe!! Pepo ya umasikini View attachment 786769View attachment 786770View attachment 786772View attachment 786776View attachment 786777View attachment 786779View attachment 786780View attachment 786781
Sijataja kibera tayari umeshapata wasiwasi.

Mzee hiyo ni baadae sana.
 
Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks in Dar in the name of building dream houses. Huku kwetu we own dream houses upcountry. Nairobi ni mahali pa kazi, unaweza toka wakati wowote
Exactly... That's the point... Nairobi watu huenda kazi
 
Sijataja kibera tayari umeshapata wasiwasi.

Mzee hiyo ni baadae sana.
Kibera is a very small area of land and reducing fast Tanzania and Dar in it is a very Big Isle of Poverty that's my point... Yani the reason why Google earth hailocate slums Dar ni ju Dar itself is One big slum
 
Kumbe uwezo wa kuwapa hamuna mnalialia tu???

Mwenye maisha bora kutoa msaada ni ufahari sio maumivu.
Uwezo upo tena mkubwa lakini Shida ni Mnatuchafulia Jiji letu infact sahizi wameokotwa wote Na Wanajiandaa kurudi LDC walipotoka Hii Nairobi sio ya Mamazao
 
Back
Top Bottom