Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na wewe pia ungekuwa mtembeaji haungesema kayole au Huruma ni slums. Huko kuna self-contained houses ambazo wewe huwezi afford kulipa rent
hahahha kayole na huruma sio slum ohh my GOD
😀😀😀😀😀😀😀😀 kapimwe DNA wewe

find history ya huyo mwamba......unajifanya huelewi,,,compare economy ya tz yakipindi chake kisha linganisha na ile yenu...
Najua historia yake vizuri sana. The most important thing aliwafanyia nyinyi wazembe ni kulazimisha ujamaa down your throats like small babies wakati nchi zingine zikipiga hatua za maendeleo kisha mnaanza kusema vile hizo nchi zilitengenzwa na wazungu wakoloni
 
ujamaa unafaida kubwa sana ndio maana leo china anaisumbua dunia, russia anaisumbua dunia etc
 
Na wewe pia ungekuwa mtembeaji haungesema kayole au Huruma ni slums. Huko kuna self-contained houses ambazo wewe huwezi afford kulipa rent
Kwakweli nyumba za hali ya chini na sampuli hiyo ya mabweni hapa bongo hazipati mtu.

Huwezi mpangisha mtu hapo kwa hela nyingi bongo,tuna jua matumizi ya pesa kijana.
 
Hehehe....naona apartments kama hizi zinawashtua sana nyinyi wabongo. Hizi ni vitu za kawaida sana huku Nairobi
uhahhaha zinafanana na umoja au sio😀😀😀
safarii hii hamutoki salama magu lazma awamalize
 
Najua historia yake vizuri sana. The most important thing aliwafanyia nyinyi wazembe ni kulazimisha ujamaa down your throats like small babies wakati nchi zingine zikipiga hatua za maendeleo kisha mnaanza kusema vile hizo nchi zilitengenzwa na wazungu wakoloni
Huyu Mzee huwezi jua umuhimu wake since mpaka muda huu umepanga kwenye viota,na huna ndoto ya kuishi kwako mpaka yesu anatua 2nd.

Na uko unakata viuno.
 
Najua historia yake vizuri sana. The most important thing aliwafanyia nyinyi wazembe ni kulazimisha ujamaa down your throats like small babies wakati nchi zingine zikipiga hatua za maendeleo kisha mnaanza kusema vile hizo nchi zilitengenzwa na wazungu wakoloni
Huyu Mzee huwezi jua umuhimu wake since mpaka muda huu umepanga kwenye viota,na huna ndoto ya kuishi kwako mpaka yesu anatua 2nd.

Na uko unakata viuno.
 
Na wewe pia ungekuwa mtembeaji haungesema kayole au Huruma ni slums. Huko kuna self-contained houses ambazo wewe huwezi afford kulipa rent
kuefford ama kutokuefford ni mfuko wa mtu hata wewe na wakenya wengine kuns vitu tena vingi tu hamuwezi kuefford....so hicho ni kitu cha kawaida inategemea mfuko wa mtu

kingine kuhusu slum malizana na ichoboi
hilo swala kwangu siyo mahala hivyo malizana na mkali wangu ichoboi huyo ndiyo atakayewafichua upande wa slums zote zilizo nairobi nnje ndani
 
Najua historia yake vizuri sana. The most important thing aliwafanyia nyinyi wazembe ni kulazimisha ujamaa down your throats like small babies wakati nchi zingine zikipiga hatua za maendeleo kisha mnaanza kusema vile hizo nchi zilitengenzwa na wazungu wakoloni
kwani uwongo hazikutengenezwa na wazungu.......
kwani kuwa na system ya ujamaa,,,,inakufanya ushindwe ishi,,,,,kikubwa maisha yanaendelea .na kwa ujamaa huu huu mafanikio yanaendelea.. kwa kasi...
 
ha haaa........unaleta story zakupanga mimi nilijua kujennga ......
hivyo ni dhahiri yaonyesha vile brain yako inavyothink yaani unawaza kupanga kwenye estate huku wenzako tunafikra kujenga.....

brain yako kifikra ipo dig sana......jiongeze mazee
Hii story ta kijenga nyumba Dar ndio chanzo cha hicho kijiji chenu kukosa plan na mvuto...huku kenya, Nairobi ni eleo la kufanya kazi na biashara, watu wamejenga vijijini kwao walipozaliwa. Mimi mwenyewe niko na bongo la nyumba kwetu ila ninapangisha nairobi coz niko huku kikazi. Nikistaafu ama kuwacha kazi narudi kwetu mashambani kuendelea na maisha. Kitu cha pili unafaa kuelewa ni kwamba cost ya land Nairobi sio shilingi mbili kama ilivyo katika hicho kijiji chenu cha Dar. Nairobi kuna sehemu hekari moja ya ardhi Inauzwa hadi ksh700 milion!! sijiu hizo ni trilioni ngapi za bongo. So nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks in your city and calling them dream houses.
 
Kwakweli nyumba za hali ya chini na sampuli hiyo ya mabweni hapa bongo hazipati mtu.

Huwezi mpangisha mtu hapo kwa hela nyingi bongo,tuna jua matumizi ya pesa kijana.
yaani sehemu haina ubora halafu ulipishwe pango pesa nyingi...... siinakua kituko hawa wakenya wamevurugwa
 
LEO NAIROBI WAKUMOKA hayupo online dizain hayupo uhuru park kuvizia free wi-fi . ...maana majobless wengi kama yeye hiyo ndiyo kazi yao
 
ujamaa unafaida kubwa sana ndio maana leo china anaisumbua dunia, russia anaisumbua dunia etc
China inasumbua dunia, na nyinyi mnasumbua nini? Acheni kujiona mko level moja na china. Kwanza mjikokote mtoke kule ldc ndo muanze kutajataja China
 
Sasa wewe uko level za leader wako in capitalist??

Unajua nicxie una akili za hovyo sana wewe.
 
China inasumbua dunia, na nyinyi mnasumbua nini? Acheni kujiona mko level moja na china. Kwanza mjikokote mtoke kule ldc ndo muanze kutajataja China
umewahi ona wapi nchi inaongoza kwa unemployment halafu inakuwa si ldc
 
Huyu Mzee huwezi jua umuhimu wake since mpaka muda huu umepanga kwenye viota,na huna ndoto ya kuishi kwako mpaka yesu anatua 2nd.

Na uko unakata viuno.
Niko na bonge la nyumba kwetu kijijini tena nzuri sana. Ama kwa akili yako lazima mtu awe na nyumba Nairobi ndio ujue ako na nyumba? Kuna walio na nyumba Nairobi pia, si eti hawapo ila usifikiri Nairobi ni kama Dar ambapo kipande cha ardhi ni shilingi mbili kisha mnajenga swahili villages halafu mnajiona wenye maendeleo sana. Ingekuwa kila mtu anajenga nyumba Nairobi, ingekuwa tu kama hicho kijiji chenu cha uswazi. Nairobi has very strict building and zoning codes ndio maana unaona most parts of Nairobi ziko organized
 
kwani uwongo hazikutengenezwa na wazungu.......
kwani kuwa na system ya ujamaa,,,,inakufanya ushindwe ishi,,,,,kikubwa maisha yanaendelea .na kwa ujamaa huu huu mafanikio yanaendelea.. kwa kasi...
Mbaazi ikikosa matunda kawaida husingizia jua...kwani was tanzania never colonized? If indeed wazungu ndo walihljenga Nairobi na kenya kwa jumla basi inaonyesha jinsi sisi tulivyo wajanja; we mustbhave told them to build Kenya while colonizing it. Nyinyi mliambia wakoloni wenu nini? Achemi vusingizio zisizo na maana. Kiini cha tanzania kubaki nyuma kimaendeleo is that stupid ujamaa philosophy. 80% ya Nairobi unaona leo ni jasho la mwafrika na mtu asikudanganye. Naeza nikakuletea picha za Nairobi in 1963 na za leo utaona tofauti kubwa sana....nyinyi endeleeni kusifia ujamaa
 
Hiyo apartment ina uzuri gani acha porojo wewe. Barabara yenyewe vumbi ukipiga miayo tu nzi na takataka zinajaa mdomoni. Umekaa kunadi apartment chakavu.
Watanzania kweli Akili ndio Mlinyimwa I am talking about low income estates na uko hapo kurusha mdomo... So You expected a beach Hotel ndio ujue ni apartment ama niweke Upanga ndio ujue ni apartment...You Must understand kila City iko na Well off Residential areas na low income Residential areas... Hii ujinga yenyu ni ya kurogwa
 
Back
Top Bottom