Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe uko level za leader wako in capitalist??

Unajua nicxie una akili za hovyo sana wewe.
Aliye na akili hovyo ni wewe unadhani mko level moja na China simply because both countries are socialist countries. Kama China ilitumia mfumo wa ujamaa kujistawisha nyinyi mnangoja mpigiwe filimbi ndo mujue mnafaa kuendeleza nchi yenu? Yani miaka hamsini tangu mpate uhuru bado mko nchi ldc halafu unaona ujamaa imewafaidi kitu!! Nyinyi ni shenzi type kabisa
 
Niko na bonge la nyumba kwetu kijijini tena nzuri sana. Ama kwa akili yako lazima mtu awe na nyumba Nairobi ndio ujue ako na nyumba? Kuna walio na nyumba Nairobi pia, si eti hawapo ila usifikiri Nairobi ni kama Dar ambapo kipande cha ardhi ni shilingi mbili kisha mnajenga swahili villages halafu mnajiona wenye maendeleo sana. Ingekuwa kila mtu anajenga nyumba Nairobi, ingekuwa tu kama hicho kijiji chenu cha uswazi. Nairobi has very strict building and zoning codes ndio maana unaona most parts of Nairobi ziko organized
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
 
Aliye na akili hovyo ni wewe unadhani mko level moja na China simply because both countries are socialist countries. Kama China ilitumia mfumo wa ujamaa kujistawisha nyinyi mnangoja mpigiwe filimbi ndo mujue mnafaa kuendeleza nchi yenu? Yani miaka hamsini tangu mpate uhuru bado mko nchi ldc halafu unaona ujamaa imewafaidi kitu!! Nyinyi ni shenzi type kabisa
Sasa unanikasirikia mimi???

Kwahiyo nawewe ni mzembe kwa kushindwa kuwa millionaire katika mfumo survival of the fitest??? Na bado umewaka mtu yangu.

Hata ground hapo Kenya imekushinda.
 
Mbaazi ikikosa matunda kawaida husingizia jua...kwani was tanzania never colonized? If indeed wazungu ndo walihljenga Nairobi na kenya kwa jumla basi inaonyesha jinsi sisi tulivyo wajanja; we mustbhave told them to build Kenya while colonizing it. Nyinyi mliambia wakoloni wenu nini? Achemi vusingizio zisizo na maana. Kiini cha tanzania kubaki nyuma kimaendeleo is that stupid ujamaa philosophy. 80% ya Nairobi unaona leo ni jasho la mwafrika na mtu asikudanganye. Naeza nikakuletea picha za Nairobi in 1963 na za leo utaona tofauti kubwa sana....nyinyi endeleeni kusifia ujamaa
kwa hiyo nchi zote zilizo na ujamaa ni maskini.....?...

stupid reason
 
Watanzania kweli Akili ndio Mlinyimwa I am talking about low income estates na uko hapo kurusha mdomo... So You expected a beach Hotel ndio ujue ni apartment ama niweke Upanga ndio ujue ni apartment...You Must understand kila City iko na Well off Residential areas na low income Residential areas... Hii ujinga yenyu ni ya kurogwa
Tatizo ulikomaa kusema hatuwezi lipa,ndio ukaulizwa kwa ubora gani zilipishwe kodi nyingi mpaka itushinde.

Hizo ni upuuzi kabisa.hakuna mtz atang'ang'ana hapo.
 
huyo hakuwa bright .....na hata hakuwa na msaada wowote wakidiplomacy kwa bara la africa zaidi yakufuga ndevu zake chafu nakukumbatia wazungu....no great history revolution in africa for him......

nothing........but R.I.P
So ju WENYU alikuwa Bright saaaaana why are You still an LDC country?? Huyu Mandevu unaona hapa na mwenzake ndio wamefanya Kenya na Ethiopia kuwa Great and what did yours do? Na hizo akilizake zote za ujamaa??
Kenyatta and Haile Selassie are
Greater... That's why sisi ndio KUSEMA hii East Africa both are greatly recognized in The World Infact Emperor Selassie is 100 time more greater that Nyerere*** Tz Mlilaaniwa kitambo
[HASHTAG]#HARAMBEE[/HASHTAG] 4 LIFE
Screenshot_20180526-095033.jpg
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
Hilo ni swali la kijinga sana! Kwani umesikia huku watu wanaishi juu ya miti ndo uulize idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Halafu sio uwongo; kenya has more millionaires than Tanzania. In fact Nairobi alone has morw millionaires than Tanzania combined
 
So ju WENYU alikuwa Bright saaaaana why are You still an LDC country?? Huyu Mandevu unaona hapa na mwenzake ndio wamefanya Kenya na Ethiopia kuwa Great and what did yours do? Na hizo akilizake zote za ujamaa??
Kenyatta and Haile Selassie are
Greater... That's why sisi ndio KUSEMA hii East Africa both are greatly recognized in The World Infact Emperor Selassie is 100 time more greater that Nyerere*** Tz Mlilaaniwa kitambo
[HASHTAG]#HARAMBEE[/HASHTAG] 4 LIFEView attachment 786728
Enda shule ufute ujinga.
 
Mbaazi ikikosa matunda kawaida husingizia jua...kwani was tanzania never colonized? If indeed wazungu ndo walihljenga Nairobi na kenya kwa jumla basi inaonyesha jinsi sisi tulivyo wajanja; we mustbhave told them to build Kenya while colonizing it. Nyinyi mliambia wakoloni wenu nini? Achemi vusingizio zisizo na maana. Kiini cha tanzania kubaki nyuma kimaendeleo is that stupid ujamaa philosophy. 80% ya Nairobi unaona leo ni jasho la mwafrika na mtu asikudanganye. Naeza nikakuletea picha za Nairobi in 1963 na za leo utaona tofauti kubwa sana....nyinyi endeleeni kusifia ujamaa
Kwanza Germany itself is a failure in History so hio ndio path walifuata mbaka waleo
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lszima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazinhira mawili tofauti..... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu umegundua hiko kitu
 
kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lazima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazingira mawili tofauti...shida na njaa zimetawala.... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu
 
Hilo ni swali la kijinga sana! Kwani umesikia huku watu wanaishi juu ya miti ndo uulize idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Halafu sio uwongo; kenya has more millionaires than Tanzania. In fact Nairobi alone has morw millionaires than Tanzania combined
Swali la kijinga ila limekushinda kujibu.

Kumbe inawezekana millionaire wa kikenya ni wa namna tofauti kabisa duniani.
 
Aliye na akili hovyo ni wewe unadhani mko level moja na China simply because both countries are socialist countries. Kama China ilitumia mfumo wa ujamaa kujistawisha nyinyi mnangoja mpigiwe filimbi ndo mujue mnafaa kuendeleza nchi yenu? Yani miaka hamsini tangu mpate uhuru bado mko nchi ldc halafu unaona ujamaa imewafaidi kitu!! Nyinyi ni shenzi type kabisa
Inchi za Ujamaa Africa ni Burr kabisa Unaleta ujamaa kwa MTANZANIA Mzembe then you expect they develop
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
Nairobi huitaji kujenga mostly people buy Properties alafu they settle there
 
Sasa unanikasirikia mimi???

Kwahiyo nawewe ni mzembe kwa kushindwa kuwa millionaire katika mfumo survival of the fitest??? Na bado umewaka mtu yangu.

Hata ground hapo Kenya imekushinda.
Sasa ju nyinyi mko ujamaa? Why are you not all like Diamond?... Kazi yenyu ni kumsifu huku mnaishi nyote Kama ngurue
 
Nairobi huitaji kujenga mostly people buy Properties alafu they settle there
Mwenzako alisema Nairobi si rahisi kununua plot ujenge that why mumepanga.sio shilingi mbili kama dar.

Sasa nikiangalia idadi ya apartment kuanzia huko Karen mpaka korogocho napata wasiwasi idadi ya wenye nyumba binafsi hata za kununua.
 
Swali la kijinga ila limekushinda kujibu.

Kumbe inawezekana millionaire wa kikenya ni wa namna tofauti kabisa duniani.
Nikishakuambia watu wako na nyumba vijijini kwao mbona tena tena unaniuliza idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Kwani hizo nyumba zilishuka kutoka mbinguni?
 
Back
Top Bottom