mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Angefungua kabisa huo mguu tuone.
Angefungua kabisa huo mguu tuone.
Wako wanaozaliwa Nairobi ila hakuna mtu anayeweza sema eti Nairobi ni kwao. Huku watu wamejipata kikazi wala hakuna mtu anawezasema eti babu ya babu yake alizaliwa Nairobi so kwao ni Nairobi. Huenda wapo na kama wapo basi ni wachache sana. Kama wewe baba ya babu yako alizaliwa Dar then it just confirms my earlier sentiments that Dar is a glorified village. Nyote mlijapa Dar by coincidence so hamna cha kufaida Dar coz hauko Dar kikazi au kibiasharadesign huyu jombaa anaweza kuwa saa mbovu..!!
Who in their rightful mind would want to move from kenya to a shithole ldc country kama hiyo yenu? Your level of backwardness is too much for us to standMsijetumia mwanya huu kuleta ndugu zenu huku,maana moja ya ndoto ya mkenya ktk maisha yake ni kuwa na free pass kuja tz,hata kenyata anatamani hiyo.
Njaa iko hata huko ujamaa village kwenu. I can bring you tens of articles talking about hunger in Tanzania, hadi zingine amabazo serikali yenu inakana kama ilivyo desturi yenu. In the meantime, endelea kuwaza na kuwazua jinsi utajitoa kutoka kwa minyororo ya ldc una uchocholeKutoka LDC sio priority yetu maana Kenya mmetoka but still mpo mpo tu,njaa kila kona,maisha magumu mpaka mnaibiana.
Kumbe hata wewe unafahamu kwamba Dar ni kama tu kibera hahahaHakuna sehemu mbaya tz kama kibera.
nchi isioisha majanga yani munafukuza watu kazi wakat unemplyment rate inatisha😀😀😀Na tukisema mnafatilia maswala ya Kenya as if your lives depend on it munakataa. Oneni huyu sasa. Nway, you must look at what your big brother is up to
Wewe ndo unaongeaongea tu....nimekwambia Nairobi sio kama hicho kijiji chenu cha uswazi ambalao halina umuhimi wowote ukandaa huu. How maby times do I have to tell you that any important and significant city has exorbitant prices of land? Nenda jo'burg ama hata Lagos utapata bei ya ardhi iko juu zaidi. Huko pia ardhi inamilikiwa na watu wachache through corrupt dealings as you want us to beleive here? Kawaida yenu sana to associate anything kenya with corruption. Tieni bidii Dar ifike level ya Nairobi muone kama kipande cha ardhi bado itakuwa shilingi mbili jinsi ilivyo kwa wakati huutatizo unaongea ongea tu......hivyo vitu unavyozungumza ni vyakawaida sana........sehemu zote za dunia vipo ardhi yeyote ile yenye ukubwa wa heka nyingi ikiwa imenunuliwa na mtu mmoja au kampuni na ikiwa imepimwa lazima iwe bei yakufa juu vinginevyo iwe ya serikali ndiyo kidogo utapata kwa bei nafuu.......kilichotokea nairobi ni kwamba hiyo ardhi yenu asilimia kubwa imemilikiwa na watu wachache wakiwemo matajiri na wanasiasa ambao wanajiweza kwa corruption na kodi zenu na ardhi kuiuza bei waitakayo.....hivyo kwa mtu wakawaida kama wewe huwezi pata ardhi hata kidogo hizo story zakujenga ushago ni sababu tu unazileta zisizo na tija ila si kama haupendi kujenga nairobi kujenga unapenda sana tatizo hauna chapaa
Wewe endelea kufatilia news za kenya mtandaoni, yaonekana unalipwa vizuri sana na hata mshahara uko karibu kuongezewa. Kwa jinsi unavofatilia masuala ya Kenya, inadhihirisha jinsi umekuwa mtumwa wa akili na mawazonchi isioisha majanga yani munafukuza watu kazi wakat unemplyment rate inatisha😀😀😀
Itafika shilingi nne lakini watu tutaweza kununua.Wewe ndo unaongeaongea tu....nimekwambia Nairobi sio kama hicho kijiji chenu cha uswazi ambalao halina umuhimi wowote ukandaa huu. How maby times do I have to tell you that any important and significant city has exorbitant prices of land? Nenda jo'burg ama hata Lagos utapata bei ya ardhi iko juu zaidi. Huko pia ardhi inamilikiwa na watu wachache through corrupt dealings as you want us to beleive here? Kawaida yenu sana to associate anything kenya with corruption. Tieni bidii Dar ifike level ya Nairobi muone kama kipande cha ardhi bado itakuwa shilingi mbili jinsi ilivyo kwa wakati huu
Dar ni sawa na kibera.Kumbe hata wewe unafahamu kwamba Dar ni kama tu kibera hahaha
Kutoka ldc imekusaidia nini??huwezi hata kununua chakula kwa ajiri ya akiba na njaa na unakata viuno vya MDC.Njaa iko hata huko ujamaa village kwenu. I can bring you tens of articles talking about hunger in Tanzania, hadi zingine amabazo serikali yenu inakana kama ilivyo desturi yenu. In the meantime, endelea kuwaza na kuwazua jinsi utajitoa kutoka kwa minyororo ya ldc una uchochole
Uhuru and its nyangau.Who in their rightful mind would want to move from kenya to a shithole ldc country kama hiyo yenu? Your level of backwardness is too much for us to stand
anilipe nani uhuru kenyatta??😀😀😀😀Wewe endelea kufatilia news za kenya mtandaoni, yaonekana unalipwa vizuri sana na hata mshahara uko karibu kuongezewa. Kwa jinsi unavofatilia masuala ya Kenya, inadhihirisha jinsi umekuwa mtumwa wa akili na mawazo
Hio ndio Magufuli anawaconsult NAYO just to cover up your everlasting shameKutoka LDC sio priority yetu maana Kenya mmetoka but still mpo mpo tu,njaa kila kona,maisha magumu mpaka mnaibiana.
The facts remains Umasikini iko but Majority of Kenyans can afford a middle income in and outside Nairobi what about you??Dar imeshika hatamu gani hapa EA? Niambie hata kitu moja Dar inashindia Nairobi nisikie. Mlikuwa mkijigamba vile Dar iko na mahoteli mengi ya kifahari na hiyo pia tulijua nani natamba hapa EA juzi. Nyinyi mnaweza tu tamba mbele ya Nairobi kwa kukuwa na jiji lililozungukwa na uswazi.Itafika shilingi nne lakini watu tutaweza kununua.
Halafu majina mabaya mabaya dhidi ya dar unayoyatamka,hayabadilishi ukweli kwamba kwa sasa ukanda huu dar imeshika hatamu.
Zaidi nakuonea huruma tu.
Ngoja ile siku nitakuja kwa mlango yako kukuomba chakula ndo useme mambo ambayo umetoa akiliniKutoka ldc imekusaidia nini??huwezi hata kununua chakula kwa ajiri ya akiba na njaa na unakata viuno vya MDC.
kenya mulikosea wapi