Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehe wanataka kushindana na tanzania kwenye maendeleo 😀😀😀😀😀
uwanja wa mao zanzibar ukiwa kwenye hatua za mwisho kabisa
C998EC1F-E6C3-4AE9-8FD9-18B5C8213695.jpeg
CA2A9BF6-07B3-49B8-BFE3-D5EB874AD6CA.jpeg
DEC7C4D1-E503-4214-90E7-E26935B8272B.jpeg
A3389093-7E71-4BE7-9D3F-B87201034F7C.jpeg
E4187DC4-06D0-4663-A8D6-941BDD35121D.jpeg
85F8A7BE-2F02-41F9-B979-FFF1058BC261.jpeg
49C9BE57-D4D3-4911-959A-193AB1418F50.jpeg
26E03152-CF25-4D35-8028-F3F11A1B5054.jpeg
F6A27D5D-CED5-472A-8F5B-37BDF469A443.jpeg
6C7277D4-412A-4529-89D9-3C47CA6379F9.jpeg
6AA895B7-791F-4F94-BD2E-845D871D4971.jpeg
D23F81B4-A8EA-4C0D-B504-67006D10D9BD.jpeg
BBAFC289-6139-4C39-83A4-07A6B351B9C9.jpeg
 
Hapa ni Huruma stop posting Photos of kibera in every area saying Nairobi is fool of slums semeni UKWELI si Kujiweka Juu ni kumbe nyinyi ndio The Big Dar is slumView attachment 786438View attachment 786439View attachment 786440View attachment 786441View attachment 786442
Kitu nimegundua na hawa midanganyika ni kwamba hawajazoea apartment buildings which is a norm here in kenya, especially in bigger towns like Nairobi. Wakati unasikia mtu anasema Kayole na Huruma ni slums, nashangaa sana slums inamaanisha nini kwao coz in those estates 90% of houses are apartment buildings with self-contained rooms. Considering that wamezoea swahili shacks with rusty iron sheets which they proudly call dream houses, wanajaribu sana kupaka matope nyumba za Nairobi na kuziita slums wakati wengi wao hawawezi mudu kulipa kodi za nyumba kwenye hizo mitaa.
 
Wewe saa zingine unatia huruma sana...sasa unatuletea uwanja wa artificial turf unaona ni maendeleo sana!? hehehe wah!
 
Maisha iko juu coz it's an important and competitive city. Niambie ni jiji gani la maana hapa Africa ama dunia nzima iko na kiwango cha chini cha maisha? glorified villages like Dar ndo maisha iko rahisi coz haiko competitive in anything. Yani kule hakuna mtu ako na haraka ya kuenda coz haina umuhumi yoyote so cost ya maisha inabaki chini
Acha ujinga,aliyekudanganya gharama za maisha nai inaizidi dar ni Nani???kama unazungumzia estate hujakosea,sababu watu wengi hapo ni masikini mmepanga.
 
Kitu nimegundua na hawa midanganyika ni kwamba hawajazoea apartment buildings which is a norm here in kenya, especially in bigger towns like Nairobi. Wakati unasikia mtu anasema Kayole na Huruma ni slums, nashangaa sana slums inamaanisha nini kwao coz in those estates 90% of houses are apartment buildings with self-contained rooms. Considering that wamezoea swahili shacks with rusty iron sheets which they proudly call dream houses, wanajaribu sana kupaka matope nyumba za Nairobi na kuziita slums wakati wengi wao hawawezi mudu kulipa kodi za nyumba kwenye hizo mitaa.
ha haaa........unaleta story zakupanga mimi nilijua kujennga ......
hivyo ni dhahiri yaonyesha vile brain yako inavyothink yaani unawaza kupanga kwenye estate huku wenzako tunafikra kujenga.....

brain yako kifikra ipo dig sana......jiongeze mazee
 
elewa unachoambiwa hayo maeneo hayana uswazi kuna maeneo ambayo yapo na uswazi ila siyo hayo....ungekuwa mtembeaji ungetembezwa hapo ungebaki mpole.......maana fikra zako zipo kudhoto
Na wewe pia ungekuwa mtembeaji haungesema kayole au Huruma ni slums. Huko kuna self-contained houses ambazo wewe huwezi afford kulipa rent
 
ha haaa........unaleta story zakupanga mimi nilijua kujennga ......
hivyo ni dhahiri yaonyesha vile brain yako inavyothink yaani unawaza kupanga kwenye estate huku wenzako tunafikra kujenga.....

brain yako kifikra ipo dig sana......jiongeze mazee
Wengine upuuzi iko ndani ktk DNA.
 
Back
Top Bottom