Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Kenyatta & Emperor Selassiewamefanana.....ndiyo maana wanabaki kuwa kings of afrika .....where is president of kenya in hostorical site of africa freedom changes
The Greats
Kenyatta & Emperor Selassiewamefanana.....ndiyo maana wanabaki kuwa kings of afrika .....where is president of kenya in hostorical site of africa freedom changes
huyo hakuwa bright .....na hata hakuwa na msaada wowote wakidiplomacy kwa bara la africa zaidi yakufuga ndevu zake chafu nakukumbatia wazungu....no great history revolution in africa for him......
nilishakutumiaga video.....You Post Fancy Beach Hotels, posh Houses na CBD mkisifu Dar na kumbe the real image is Hell.. HEBU post picha ya Low income estates tuone Unadhani Nairobi hakuna Hotels
hata ingekuwa bajajiToyota ndio Miujiza kwenyu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ukioata neno slum kwa google earth nitag😀😀😛Dar ni slum Na ITABAKI kuwa LDC hadi Yesu arudi haitabadilika![]()
![]()
![]()
![]()
hio google earth my friend😀😀😀😀😀Hii ni Google maps acha ushamba you cannot see things in detail
so what is ur point kua kayole sio slum😀😀😀Ichoboy Hii porojo yenyu ya slums Mnajua ku Matanga stories haziko sana...
Niko sure Huwezi Afford kununua plot Kwa hizo slums Unaongelelea zingine zinarange upto ksh20M na ZIKO located kwa hizo areas UNAITA slums![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo apartment ina uzuri gani acha porojo wewe. Barabara yenyewe vumbi ukipiga miayo tu nzi na takataka zinajaa mdomoni. Umekaa kunadi apartment chakavu.I think Umeona ya kawangware hapo..
Hii apartment sidhani wengine WENYU mnaweza afford View attachment 786540
ndiyo maana tumemuacha...........aropoke peke yakeHiyo apartment ina uzuri gani acha porojo wewe. Barabara yenyewe vumbi ukipiga miayo tu nzi na takataka zinajaa mdomoni. Umekaa kunadi apartment chakavu.
Did you just say mpangilio wa mitaa when referring to Dar estates? Kweli uzalendo imewapumbaza!hizo sehemu hakuna uswazi hata moja ni sehemu ambazo zipo kwenye mpangilio wa mitaa nikupo poa sana......nawatu wanaoishi hayo maeneo niwananchi wakawaida.....
Yule wenu nacho mekundu aliwasaidia nini zaidi ya ujamaa ambacho ndio kiini cha nyie kuwa ldc miaka hamsini tangu mjitawale!!![]()
![]()
huyo hakuwa bright .....na hata hakuwa na msaada wowote wakidiplomacy kwa bara la africa zaidi yakufuga ndevu zake chafu nakukumbatia wazungu....no great history revolution in africa for him......
nothing........but R.I.P
elewa unachoambiwa hayo maeneo hayana uswazi kuna maeneo ambayo yapo na uswazi ila siyo hayo....ungekuwa mtembeaji ungetembezwa hapo ungebaki mpole.......maana fikra zako zipo kudhotoDid you just say mpangilio wa mitaa when referring to Dar estates? Kweli uzalendo imewapumbaza!
Yule wenu nacho mekundu aliwasaidia nini zaidi ya ujamaa ambacho ndio kiini cha nyie kuwa ldc miaka hamsini tangu mjitawale!!
find history ya huyo mwamba......unajifanya huelewi,,,compare economy ya tz yakipindi chake kisha linganisha na ile yenu...
swadakta utauwa wakenya yaani hiyo stage ukizikusanya airport zote zakenya haziifikii ....ni balaamagu wewe ni chuma😀😀😀😀
cost ya uwanja ni 100m usd
uwanja mpya wa kisasa na wapili kwa ukubwa africa umeanza kujengwa dodoma na utakua wakisasa wa aina yake ndani ya africa