Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What shows it's kayole? Nishakuambia kayole huwezi afford kulipa rent hata ya bedsitter, wacha hata one bedroom


hahaha sahii wanagoogle picha yoyote mbaya na kuibandikia Nairobi....
wachaneni na Nairobi Tanzanians......hili ni bonge la jiji nawaambia....ukitembea kwa undani utajifahamia
 
kayole nairobi

kayole hio😀😀😀😀😀
481299
ebwana eeeeeeehhh!!!kwa hiyo hii ni tofauti na kibera???
 
WAKENYA WACHENI MAMBO YAKIJINGA yaani huu uchafu mlionao ndiyo mnajifananisha na DAR kweli......sijawahi kuyaona mazingira machafu na chakavu kama haya aisee
NAIROBI SWEET CITY CLASSIC CITY KIUKWELI MPO VIZURI

AT NAIROBI ESTATE STREET

KAMA CLASSIC CITY ZIPO HIVI BASI NAIROBI NO.1

ILOVE NAIROBEE[emoji2] [emoji2] [emoji2] View attachment 785787View attachment 785788View attachment 785789View attachment 785790View attachment 785791View attachment 785792View attachment 785793View attachment 785794View attachment 785795View attachment 785796View attachment 785797View attachment 785798View attachment 785799View attachment 785800View attachment 785801View attachment 785802View attachment 785803View attachment 785804View attachment 785805View attachment 785806View attachment 785807
nyumba kama magofu ya Detroit au camden,united states
afu ndo uifananishe na dar??
 
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unajua Nikiuza shamba kenya hio imetosha kujenga Estate Tanzania na kwanza Rent pekee yangu imetosha kukusomesha hadi ukuwe daktari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uuze shamba??unalo???ardhi yooote ya Kenya inamilikiwa na Uhuru family na inayobaki anamiliki mzungu!!haya ukiuza shamba lipi sasa??
 
ukweli wa nn??? ikiwa ukweli huutaki unategemea kupata uongo na tatizo hili la kujiona mumekua kama europe litawaathiri mpaka mwisho wa dunia😀😀😀😀
We umeonyesha kukataa kuelewa kwasababu yashakushinda! Endelea tu na mambo mengine....
 
Wewe kwa akili yako ukiona mtu analipa rent ya 20k za Kenya unafikiri mshahara au mapato yake ni pesa ngapi kwa mwezi? Kuna siku niliona kodi za nyumba kule masaki na oyterbay ni 75,000 za kenya hadi nikacheka sena. Nairobi kuna mitaa watu wanalipa kodi hata ksh300,000 kwa mwezi. Hapo ndo unajua sasa Dar is just a glorified village
So kila nyumba Karen wanalipa hiyo 300k Mbona hutumii akili za kawaida???au unadhani nyumba za bei mbaya masaki hakuna???
 
So Tabata is a middle income estate sio? Ni kama pale Lang'ata, Buru Buru au South C? Hehehe....pole kwa kucheka, sikujua. Ndo maana mimi husemanga Nairobi na Dar ni kama usiku na mchana
Endelea kushtuka.
 
Ndugu yangu, Ksh15,000 sio pesa unaweza ishi nayo Nairobi. You can't survive in nairobi with ksh15,000. Hiyo labda ukuwe houseboy wa mtu na upewe chakula na mahali pa kulala.
Maisha Nairobi ni juu moto chini miba,na mnajisifu
 
200k Kulishika sio shida Kenya infact most people wameishika ju Shamba Kenya ni kitu ksh2M country per acre Kama ni chini sana and 90% ya wakenya Wako na home land Mashambani so imagine some have 100 acres wakiuza tano are they not millionaires in Tanzania?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya uzeni basi,kama ni mbinu ya ku qualify kuwa don huku bongo.
 
So Tabata is a middle income estate sio? Ni kama pale Lang'ata, Buru Buru au South C? Hehehe....pole kwa kucheka, sikujua. Ndo maana mimi husemanga Nairobi na Dar ni kama usiku na mchana
usifananishe tabsta na hayo maeneo yenu hata kidogo.........
 
Kwa jinsi watanzania tunavyowachezea hawa raia wakenya kimaarifa hakika ingekuwa kwa upande wa tanzania tungewaacha na upuuzi ernu maana kila kipimo tunachowapima wakenya wanakuja mule mule tena kizembe kweli wakenya ni stupid
Haha this is asighn of failure... You are a Big failure Hao Hao Wajinga ndio Wataishi kuwa Mbele yenyu hadi mwisho wa dunia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahaha sahii wanagoogle picha yoyote mbaya na kuibandikia Nairobi....
wachaneni na Nairobi Tanzanians......hili ni bonge la jiji nawaambia....ukitembea kwa undani utajifahamia
ni nani aliye google picha ambayo ipo tofauti na nairobi kisha skaipost,,hebu tutajie huyo mtu kisha post hizo picha....[emoji2] [emoji112]
 
nyumba kama magofu ya Detroit au camden,united states
afu ndo uifananishe na dar??
wajinga sana wakenya yaani ukiziacha zile aerial view ukidhuka chini huo uchafu ndiyo asili yao ni kupo hovyo chakavu
 
uswazi kila mahali...ata ujenge kitu mzuri inazungukwa na uswazi kando
hizo sehemu hakuna uswazi hata moja ni sehemu ambazo zipo kwenye mpangilio wa mitaa nikupo poa sana......nawatu wanaoishi hayo maeneo niwananchi wakawaida.....
 
Back
Top Bottom