Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ebwana eeeeeeehhh!!!kwa hiyo hii ni tofauti na kibera???
Hapa si kayole jingaiii....
Tembea Nairobi acha UPUZZI..
When we say kayole kuna manyumba HAMUEZI afford we mean it nkt!!
Ndio hio kayole hapo for those BONGOLALAS who never travel
Screenshot_20180526-100312.jpg
Screenshot_20180526-100249.jpg
61201448.jpg
Screenshot_20180526-095856.jpg
Screenshot_20180526-100027.jpg
Screenshot_20180526-095800.jpg
Screenshot_20180526-100312.jpg
 
yaani vile vibanda vya mabati ndo vimechukua eneo lote hilo??
halafu huyo jamaa ajitambui eti rent ya hayo mabanda huwezi afford!!kweli chizi hajijui kuwa ye ni chizi..
alikua anasema kayole sio slum nilicheka sana 😀😀
 
acha hasira heheh 😀😀😀😀
jamaa kuna vitu haamini machoni mwake,,,nimegundua kuwa kuna baadhi ya wakenya ni wapuuzi yaani wanafikiri hii dar ipo ipo tu na wanahisi kuwa mazingira mazuri hayapo.....
 
hizo sehemu hakuna uswazi hata moja ni sehemu ambazo zipo kwenye mpangilio wa mitaa nikupo poa sana......nawatu wanaoishi hayo maeneo niwananchi wakawaida.....
kumerust sana....iyo apartment imezungukwa na shanties
 
jamaa kuna vitu haamini machoni mwake,,,nimegundua kuwa kuna baadhi ya wakenya ni wapuuzi yaani wanafikiri hii dar ipo ipo tu na wanahisi kuwa mazingira mazuri hayapo.....
Mbona ni dar tu...kila mahali ni uswazi...ujenge nyumba poa lakini majirani wako na mauswazi....iyo ata Kampala huwezi pata
 
ndio unavotudanganya leo hehehhe 😀😀😀
kayole ni slum na itabaki kua slum na kama unabisha nakushishia video kama 6 sasa hvi hapa
We sikulaumu Nalaumu inchi yako why don't you take a bus Ufike kayole?? Infact Rent ya kayole huwezi Lila & by the way Kibra pia sidhani INAWEZA bei... Ujue kuna Kibera na Kibra...
 
We sikulaumu Nalaumu inchi yako why don't you take a bus Ufike kayole?? Infact Rent ya kayole huwezi Lila & by the way Kibra pia sidhani INAWEZA bei... Ujue kuna Kibera na Kibra...
hahahhha leo umelia sana 😀😀😀😀
yani unachoonesha wewe ni utumbo wa bata
 
Back
Top Bottom