Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nkt! Infact M pesa yangu haijawahi shuka mia tank so I just don't get what you are telling me.. Mia tano kenya ni mingi sana ukilinganisha na Tz hii imetosha shopping ya chakula ya the whole day #3 meals so sijui UNASEMA nini? Infact Kibera chakula kwa kibanda ni 30 Bob na unakula kumwaga Tz lunch yako pekee ni pesa ngapi??
Ok mimi nilidhani unaidharau 500 huku Mpesa ikisoma 50k,

Ni ajabu mtu anakwambia eti, imagine nikiwa na 200k ya kenya nikaenda tz mimi ni millionaire, kasahau hiyo laki mbili ya Kenya kuishika ni mpaka akunye kasimama.

Anyway menyu ya mchana tz kimaskini ni 1500.
 
What the uses of 20k in Kenya???kama 500 unaunua nguo na kula launch??
And what's the use of 500k in Tz Kama 2k ni transport ya kuelekea town? Kumbuka bado hujarudi so ni 4k!!! What!
And that's why companies prefer kenya ju hio pesa ya Tanzania has no value.... Sasa nikiuliza what is your salary utasema nini?....Tsh 3000000.... Hii ni pesa ya kununua Prado ama X trail Kenya
 
Ok mimi nilidhani unaidharau 500 huku Mpesa ikisoma 50k,

Ni ajabu mtu anakwambia eti, imagine nikiwa na 200k ya kenya nikaenda tz mimi ni millionaire, kasahau hiyo laki mbili ya Kenya kuishika ni mpaka akunye kasimama.

Anyway menyu ya mchana tz kimaskini ni 1500.
200k Kulishika sio shida Kenya infact most people wameishika ju Shamba Kenya ni kitu ksh2M country per acre Kama ni chini sana and 90% ya wakenya Wako na home land Mashambani so imagine some have 100 acres wakiuza tano are they not millionaires in Tanzania??
 
That's why nikaandika hamjui kazi ya pesa na hamfaham kama hamjui.

Laki tano ya tz ukiiweka kulipia kodi ya pango utaishi katika nyumba nzuri sana tu .

Kama unaona 20k ya kenya ni pesa ndogo sana,nitakuuliza unalipwa laki ngapi ya Kenya.
Wewe kwa akili yako ukiona mtu analipa rent ya 20k za Kenya unafikiri mshahara au mapato yake ni pesa ngapi kwa mwezi? Kuna siku niliona kodi za nyumba kule masaki na oyterbay ni 75,000 za kenya hadi nikacheka sena. Nairobi kuna mitaa watu wanalipa kodi hata ksh300,000 kwa mwezi. Hapo ndo unajua sasa Dar is just a glorified village
 
Hiyo ni pesa ya pango kwa nyumba ya 3bedroom,kitchen,store,dinning.

Maeneo ya middle income kama tabata,msasani,kimala and so.
So Tabata is a middle income estate sio? Ni kama pale Lang'ata, Buru Buru au South C? Hehehe....pole kwa kucheka, sikujua. Ndo maana mimi husemanga Nairobi na Dar ni kama usiku na mchana
 
Kwa jinsi watanzania tunavyowachezea hawa raia wakenya kimaarifa hakika ingekuwa kwa upande wa tanzania tungewaacha na upuuzi ernu maana kila kipimo tunachowapima wakenya wanakuja mule mule tena kizembe kweli wakenya ni stupid
 
1: Orangi Town, Karachi, Pakistan
With the population of 2.4 million Orangi Town, Karachi, Pakistan is ranked as the world's largest slum, according to the World Economic Forum. In view of the improper sanitation and negligence from the government, residents have been working to build streets and sewerage pipes on their own.
2: Ciudad Neza, Mexico City, Mexico
1.2 million people live in this slum which is blighted by its reputation for crime. While efforts are being made by the residents to deliver public services, it still lacks facilities like schools.

NISKIE TENA MKIPIGA MDOMO HAPA KIBERA.. View attachment 785595View attachment 785597
mbona slums za kibera zinatisha sana!!
 
Huyu anajifanya mjanja sana hajui kama ujanja ya wakenya iko level ingine. Anadai eti kayole ni slum when i tell him it's not anadai vile yeye ameishi Nairobi anapafahamu vizuri sana. Then I ask him where he used to stay in Nairobi akasema juja kisha namuuliza mtu anapitia njia gani kutoka juja kwenda town anasema Embu!!! hahaha huyu bongolala ujinga yake ni ya hali ya juu


ichoboy ati aliishi Juja hahaha...that was my hood time ya campus.....sahii Juja ni kubwa hata arusha haifikii....lol.....msee hajui Juja is 40 kilometres away from the core Nairobi
 
Hapa ni dar yote
dar_es_salaam_skyline.jpg
dar siku hizi ina udongo mwekundu??
 
Back
Top Bottom