Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tsh500,000 ni kama Ksh20,000 kama sijakosea. Hiyo ni rent ya two bedroom house in an ordinary estate like Donholm or Kasarani. Huko kwenu najua hiyo ni rent ya Nyumba kule masaki, mbezi beach au oysterbay.
Si amejisemea mwenyewe... And then si huyu ndio anajigamba hapa hawezi panda matatu na Rout ya Rongai Langata ni 100ksh...yenye sijui ni Tsh5000[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni= 2000 ya tz,sasa elfu mbili nayo ni nauli ya kuandika humu??unatulingishia we kweli ni mbuzi.
 
Cheki mbuzi huyu ,hivi unajua hata unachokiandika.

Wacha nikuulize unachukua muda gani kutafuta hiyo 500 ya kenya,???maana inawezekana naongea na ng'ombe.
Acha Matusi na Ujibu swali feelings Peleka Somalia kaka... Ksh500?=? Tsh jibu swali kwanza
 
ww mshahara wako shs ngap ukivuka 15000ksh nitag
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio nipesa ya kubett kwangu.... Kenya by the way Hio ni Mshahara ya House girls... Hio si mshahara Kenya we speak of 30k kuendelea hio labda rent Kawangware[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni= 2000 ya tz,sasa elfu mbili nayo ni nauli ya kuandika humu??unatulingishia we kweli ni mbuzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aty 2k!! I hope now You know your place... We are that Much ahead of you ndio maana sisi sio LCD
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio nipesa ya kubett kwangu.... Kenya by the way Hio ni Mshahara ya House girls... Hio si mshahara Kenya we speak of 30k kuendelea hio labda rent Kawangware[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hehehe kwa sifa tu hamujambo😀😀😀
basi msingekua na maisha ya nguruwe😛😛
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio nipesa ya kubett kwangu.... Kenya by the way Hio ni Mshahara ya House girls... Hio si mshahara Kenya we speak of 30k kuendelea hio labda rent Kawangware[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You mean 30southand sio???

Sasa kama wewe unalipwa 50k,unaweza kweli kulipia hayo mabweni ya 20k,halafu unakula nini?
 
Hiyo ni= 2000 ya tz,sasa elfu mbili nayo ni nauli ya kuandika humu??unatulingishia we kweli ni mbuzi.
2k imetosha nifike town, I buy Clothes in gikomba na bado nikule lunch na nlirudi home comfortably and you? Hio ni transport pekee... That's How poor your Economy is... Hamna difference na Uganda where one goes shopping with a Sack of money[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana nikakwambia hujui unachoandika,so siku nzima unaweza ukasota usiipate hiyo 500,kama mimi kuifukuzia 10k.

Au unaipata kama mimi ninavyoipata mia tano ya huku??
 
You mean 30southand sio???

Sasa kama wewe unalipwa 50k,unaweza kweli kulipia hayo mabweni ya 20k,halafu unakula nini?
Yuh very comfortably Ju mimi sio ngurue na tena sina Familia.. I eat to live I dont live to eat... That's what makes kenya Capitalist and not Ujamaa[emoji12] [emoji12]
 
Ndio hapo kibera inaonekana ni mkombozi Wa wakenya walio wengi kama wewe???

Muda si mrefu utaniambia unalala sehemu ilimradi usinzie kukuche,pole kijana.
 
Hope umewaza hiyo elfu mbili ndio mshahara wako Kenya,dah.
Hata Mjengo iko na pesa Kenya.... Just imagine nikifanya kazi Mjengo kenya for 1 Month niko na about 20k.. Oh as in ksh20... Hio ni ngapi Tz? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
What the uses of 20k in Kenya???kama 500 unaunua nguo na kula launch??
 
alipofanya show pale nairobi mpaka mukampa plot bure alikua sio diamond😀😀😀😀😀
Watu wa Nairobi husaidia wakimbizi kwa jumla SANASANA Kutoka Tanzania... By the way Mnatuchafulia streets Zetu.. Mrudi kwenyu.. Nairobi sio Dubai
 
Ndio maana nikakwambia hujui unachoandika,so siku nzima unaweza ukasota usiipate hiyo 500,kama mimi kuifukuzia 10k.

Au unaipata kama mimi ninavyoipata mia tano ya huku??
Nkt! Infact M pesa yangu haijawahi shuka mia tank so I just don't get what you are telling me.. Mia tano kenya ni mingi sana ukilinganisha na Tz hii imetosha shopping ya chakula ya the whole day #3 meals so sijui UNASEMA nini? Infact Kibera chakula kwa kibanda ni 30 Bob na unakula kumwaga Tz lunch yako pekee ni pesa ngapi??
 
Ndio hapo kibera inaonekana ni mkombozi Wa wakenya walio wengi kama wewe???

Muda si mrefu utaniambia unalala sehemu ilimradi usinzie kukuche,pole kijana.
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unajua Nikiuza shamba kenya hio imetosha kujenga Estate Tanzania na kwanza Rent pekee yangu imetosha kukusomesha hadi ukuwe daktari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
What the uses of 20k in Kenya???kama 500 unaunua nguo na kula launch??
And what's the use of 500k in Tz Kama 2k ni transport ya kuelekea town? Kumbuka bado hujarudi so ni 4k!!! What! [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom