Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani ulitoka Juja ukapitia Embu kukuja Nairobi!!!??? Hehehe Wewe unajua Embu iko wapi hapa kenya? Muda huu wote nilikuwa najua tu hujui unachkosema wala hujawahi kanyaga Nairobi ndo maana nilikuwa nakuuliza hayo maswali. Kazi yako ni kuporokwa tu bila ya kujua unachosema. In fact hujakanyaga nje ya mbagala Dar na huku unajifanya vile unajua Nairobi. Wewe unajua Nairobi kwa ndoto tu na labda kusoma kwenye vyomba vya habari
Hahahaha.............umemkamata makende sawasawa. Huyu hajatoka hapo tandale tangu kuzaliwa.
 
DJ-ADRIAN.jpg
 
wakati wanamuziki wanaoimba ujinga toka kenya wakipishana nairobi-nakuru road, nairobi-mombasa road na nairobi-ruiru road kwenda kwa city counties na mashinani kufanya music shows,hii hapa ratiba ya ziara za diamond platnumz kwenda ku perform ughaibuni (USA).

from tz to the world.
IMG_20180525_144629.jpg
IMG_20180525_143516.jpg

povu ruska.
 
Hahahaha.............umemkamata makende sawasawa. Huyu hajatoka hapo tandale tangu kuzaliwa.
Huyu anajifanya mjanja sana hajui kama ujanja ya wakenya iko level ingine. Anadai eti kayole ni slum when i tell him it's not anadai vile yeye ameishi Nairobi anapafahamu vizuri sana. Then I ask him where he used to stay in Nairobi akasema juja kisha namuuliza mtu anapitia njia gani kutoka juja kwenda town anasema Embu!!! hahaha huyu bongolala ujinga yake ni ya hali ya juu
 
Kama hii ni slum basi si Dar yote ni slum?

Kayole
images

Dar es Salaam
16493235947_b1ab0c2646_b.jpg
 
Huyu anajifanya mjanja sana hajui kama ujanja ya wakenya iko level ingine. Anadai eti kayole ni slum when i tell him it's not anadai vile yeye ameishi Nairobi anapafahamu vizuri sana. Then I ask him where he used to stay in Nairobi akasema juja kisha namuuliza mtu anapitia njia gani kutoka juja kwenda town anasema Embu!!! hahaha huyu bongolala ujinga yake ni ya hali ya juu
ujanja gani we boya so unakataa kayole sio slum 😀😀😀

haya kojoa ulale sasa😛😛😛

Kayole Archives - African Slum Journal
 
Back
Top Bottom