Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1970 Vw
04FF9146-3832-45B8-9ECA-B88EE618D23E.jpeg
 
Mkataa kwao ni mtumwa.

Hataki nyumbani kwao,anapakimbia,hapakubali jamani.
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
 
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
heheh tumeingia kwenye mada ya changudoa sasa😀😀😀😀😀 kayole slum tushamaliza
 
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
Pole kwa hasira.

Hivi nairobi yote wananchi wanaoishi katka hizo estate ni wangapi kwa makadilio???
 
wakati wanamuziki wanaoimba ujinga toka kenya wakipishana nairobi-nakuru road, nairobi-mombasa road na nairobi-ruiru road kwenda kwa city counties na mashinani kufanya music shows,hii hapa ratiba ya ziara za diamond platnumz kwenda ku perform ughaibuni (USA).

from tz to the world.
View attachment 785929View attachment 785930

povu ruska.
Lips Baggy Ana Boo... Aty show USA? HIO NI MIUJIZA TZ.. Sisi hio tuliachia ma DJ Kama kalonje sio wasanii na usisahau sauti soul
 
Hizi majina umetoa wapi: Nyalenda slum, shilanga slum, siranga slum, Raila slum, Kenyatta university slum, ziwa la Ng'ombe, Fuata nyayo? av lived in Nairobi for ten years wala sijasikia haya majina. Kwa mfano, Nyalenda is an estate kule Kisumu in western kenya. Iweje leo imepatikana Nairobi? Yaonyesha jinsi hukui unachosema. Then kuna mitaa umetaja hapo ni slums wakati huwezi afford kulipa rent hata ya bedsitter kwenye hizo mitaa. Kayole, Huruma, Makongoneni, Pumwani, Baba Dogo, Kangemi, kawangware etc are decent estates with apartment blocks za bedsitters na one bedroom and two bedroom houses self-contained. Huko ukipewa nyumba huwezi tamani kurudi kwa nyumba za uswazi Dar
It is clear watu hawajui Nairobi hata kidogo wanaongea KWA Tv wanathani wamefika Huruma 4 example ni place imejaa flats How comes
Mtu anapost PICHA za mabati hapo aty ni slum na rent hawawezani
 
It is clear watu hawajui Nairobi hata kidogo wanaongea KWA Tv wanathani wamefika Huruma 4 example ni place imejaa flats How comes
Mtu anapost PICHA za mabati hapo aty ni slum na rent hawawezani
Dogo una kiswahili kibovu na umeng'ang'ana kuandika notes.embu acha umaamuma.

Kwani ni uongo kwamba Nairobi inasifika duniani kwa slums???au hili nalo mpaka kuona kwa TV??
 
Back
Top Bottom