Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kama London mazee hapo ni mambo mbayaa.......
kama London mazee hapo ni mambo mbayaa.......
Hapana....hapo ni Nairobi. Sisi hatuna tabia za kibongo za kuita maeneo majina yasiyo ya msingi sijui Paris, mara ooh Dubai, Mara London wakati mji umechanika na kuchoka kizeekama London mazee hapo ni mambo mbayaa.......
siyo 90% ni imeidhinda kwa 700%Usisahau Githurai ni 'Slum' na infact umeshinda 90% ya Residential areas za Dar![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

kwa hiyo kwenye hiyo slum hawaishi watu ......wanaishi popoUsisahau Githurai ni 'Slum' na infact umeshinda 90% ya Residential areas za Dar![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mm situmii matatu i was using my cousin car and not matatu sijawah panda hio matatu zimejaa kunguniNimekuuluza ukitoka juja kwenda town unatumia matatu namba ngapi na zinapitia njia gani. Mbona kimya?
Hapana....hapo ni Nairobi. Sisi hatuna tabia za kibongo za kuita maeneo majina yasiyo ya msingi sijui Paris, mara ooh Dubai, Mara London wakati mji umechanika na kuchoka kizee
sema nairobi ni noma sana......So your cousin anatafuta greener pastures Kenyamm situmii matatu i was using my cousin car and not matatu sijawah panda hio matatu zimejaa kunguni
hii ni nini 😀😀😀 hzi ndio bedsitterWewe ni kilaza sana....sasa kutuwekea screenshot ya desktop ndo kumaanisha nini? Nimekwambia huko kayole huwezi afford kulipa hata rent ya bedsitter. Endelea kujipa moyo na kuiita slum
KAYOLE NAIROBI![]()
wakenya mnavituko sana tizama jinsi mazingira yalivyo hovyo...nyumba mbaya chakavu
wamezaliwa huko wazaz wao wamezaliwa hukoSo your cousin anatafuta greener pastures Kenya
Ni sawa haina shida....kongole kwa cousin yako kukimbia uchichole wa Dar na kukuja Nairobi, jiji kuu la Africa mashariki. Naamini hiyo gari ilitumia njia wala haikupaa angani. Bado nakuuliza, ulitumia barabara gani kutoka juja kuja mjini?mm situmii matatu i was using my cousin car and not matatu sijawah panda hio matatu zimejaa kunguni
Pugu,mgogoro rd, dar yote ni slum alafu unahaigaika na nairobi nini😀😀😱kwa hiyo kwenye hiyo slum hawaishi watu ......wanaishi popo
Hiyo sio bedsitter, that's a screenshot of an earial view. Vipi wewe!! Nashuku umekunywa mchuzi wa albino lunch imekulemea hadi hujui unachosema
Hivi nani ali rahani Kenya. Shetani amekataa😀😀 Nairobi Walker at work
Check out @njuguna254’s Tweet:
Kwanini wakenya mnapenda vitu vya uongo? hapo siyo Dar ni Naijeria. Ongeeni ukweli tu. Sisi huwa tunaweka information toka kwenu huko huko. Inaonekana ni namna gani mnaiogopa Dar
Check link hii hapa:
Community Approach Against Open Defecation - THISDAYLIVE
View attachment 782447