Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These are what your useless government has fed in their attempts ro paint a bad picture of Kenya. No wonder you guys follow Kenya's affairs like your last breath depend on it. We were comparing Nairobi and uswazi aka Dar ndo maana nikataja mambo niliyoyaja but yaonekana ngoma imekuwa mzito kwako ukaingia maswala ya kenya keupuka haibu. When you are ready to debate on matters Nairobi and Dar is slum, niambie. Ukitaka tuongee mambo ya kenya pekee pasi na Nairobi, fungua thread kisha uniambie. Adios
hakuna mtanzania mwenye habari na kenya sema nyie ndio hua hamutaki tanzania iendelee na siku zote mulivo na hamupendi kuongea mambo yenu ya msingi yanayomgusa kila mkenya, yani unajisifia ushuzi wakat unakufa njaa
wewe leo hujiulizi kwann njaa inatawala kwenu kila mwaka wakat ardhi ya kulima munayo, arable land yote mumewapa settlers wao wanapanda maua na kwenda kuuza kwao nyie mumebakia kulia na njaa kila mwaka mkisubiri misaada alaf unatunisha misuli kujiita MLDC serious??? akili kichwani mwako
 
8352.jpg
8353.jpg
8348.jpg
8144.jpg
 
These are what your useless government has fed in their attempts ro paint a bad picture of Kenya. No wonder you guys follow Kenya's affairs like your last breath depend on it. We were comparing Nairobi and uswazi aka Dar ndo maana nikataja mambo niliyoyaja but yaonekana ngoma imekuwa mzito kwako ukaingia maswala ya kenya keupuka haibu. When you are ready to debate on matters Nairobi and Dar is slum, niambie. Ukitaka tuongee mambo ya kenya pekee pasi na Nairobi, fungua thread kisha uniambie. Adios
Our government ?? 😀😀 Kwenye unemployment ?? 😀😀 Baby cry cry cry😱😱
2018-05-21_12.28.24.jpg
 
Meanwhile, this is Dar ws salaam, a glorified village Tanzanians are trying so hard to compare with Nairobi. These are typical Dar estates where the majority of Dar residents live, including those making noise in here. It's laughable that 80%-90% of Dar estates look exactly like these two. I can see so many "dream houses" in these two pics
8387.jpg
8388.jpg
 
baada ya sigiri bridge kubutuka sasa na hii nyingine
sijui hao engineers wamesomea wapi????

Latest pictures kutoka Nairobi😀😀View attachment 782495 View attachment 782497
Who told you that Nairobi should be perfect? There's nothing perfect in this world, even New York has some very bad neighborhoods. Even in those two pics alone, one can clearly see the level of planning in those estates. The roads may look pathetic but the rows of apartments are neatly tacked, leaving plenty of room for vehicles and other road users. Hii ni ndoto kule dar...In Dar, vijinyumba vya mabati zenye paa zilizorust zimetapaa kila mahali bila mpangilio wowote. kisha mnaziita dream houses!!! Hata hamna haya
 
Back
Top Bottom